Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVI👇👇👇👇👇👇👇
Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama hawana mtaji na lakini pia kutanua biashara zao.Ipo hivi mama ntilie anavoamka asubuhi atataka kununua...
Wakuu habari,
Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏
Habari zenu wanaJF?
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi), lakini dunia ina mambo mengi, mpaka sasa nimeshindwa kutimiza ndoto hiyo.
Nimeajiriwa lakini sina furaha, why? Kwasababu nafanya kitu ambacho hakipo moyoni mwangu.
Kwasasa nina umri wa miaka 29, kwa umri...
Wakuu nahitaji website au blog yenye matangazo ya Google Adsense yakiwa hayana shida yeyote, kwa aliyenayo naomba tuwasiliane
Njoo WhatsApp http://wa.link/c951p8
Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata.
Naitwa...
Habari Wana Jamie forum
Nahitaji msaada kwa mwenye Tonner za rangi nne
1.616c Tonner ndogo
2.622Y tonner kubwa
Naomba bei pia nitumie picha kuhakikisha kama ni wenyewe
Nahitaji Box 100 plus
Naweza kufuata au ukanitumia itategemeana na makubaliano yetu
Nauhitaji haraka iwezekanavyo...
Habari
Natafuta chumba cha kupanga Arusha, maeneo ya Moshono au Njiro.
Kiwe chumba kimmoja ambacho ni self , kiwe kina nafasi na jiko dogo
Chumba kiwe katika mazira masafi yenye ulinzi na karibu na barabara.
Budget ni 100k
Kuna DOGO kamaliza form4 hivyo nataka nimwezeshe biashara ya kuuza vifurushi vya dk,mb,sms vya mitandao yoote na kuuza LUKUU ya umeme visiwe vya kukwangua vocha Bali kutumia mashine (SIJUI NI MASHINE GANI INAFAA)
Pia awe analipia ving'amuzi.
Pia awe anasajili laini (SIJUI NI MASHINE GANI...
Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
Nahitaji usafiri wa Gari za IT nahitaji niondoke saa 3 usiku na kufika Dodoma saa 12 asubuhi, kuna issue ya saa 2:30
Asante waugwana nimefanikiwa kupata Coster pale Mbezi nimeanza safari saa 4 usiku nikeingia Dom saa 11:00
Nimemalizana na jambo langu nipo njiani kurudi jijini Dar.
Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania.
Naipenda sana nchi yangu na siko tayari kuidhalilisha kwa namna yoyote ile hasa katika nyanja ya papuching.
Itakua machozi jasho na...
Habari wakuu?
Heri ya mwaka mpya.
Niende moja kwa moja kwenye mada,ni hivi ninahitaji mtu mwenye uwezo wa kutengeneza WIREFRAMES kisha azipeleke kwenye MOCKUPS halafu atengeneze CLICKABLE-PROTOTYPES.
Kama una uwezo na upo tayari njoo DM.
NB:
Sio lazima uwe umesomea, as long as unauwezo wa...
Wakuu
NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali.
Mwenye nayo anicheck- PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.