mtu

  1. okiwira

    Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  2. DocJayGroup

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata SMS za mtu kupitia watoa huduma (mitandao) na kama polisi Tanzania wanafanya polygraph test

    Nimeona sio mbaya kuingia kwa JF kupata information zaidi sababu kuna watu wana knowledge nyingi sana na mbalimbali hapa. Katika saiti yangu moja ya kazi, kuna nyumba za wafanyakazi. Kijana mmoja mwangalizi mkuu wa saiti hio, amekuwa akitunza hela kwenye ndoo sababu wazazi wake walipitia tatizo...
  3. J

    Maendeleo ya mtu yako katika Uhuru wa kuabudu, mengine yote ni maendeleo ya vitu CCM wasitegeke na Tundu Lissu

    Kwa kifupi sana. CCM imeruhusu uhuru wa kuabudu kwamba kila mtu ana haki ya kuabudu katika imani anayoiamini. Viongozi wa dini ndio wenye jukumu la kuhakikisha " mtu" anaendelea kiroho na kimwili. Mambo mengine yanayosimamiwa na serikali kwamba tuwe na viwanda ili watu wavae na kula pamoja na...
  4. FRANCIS DA DON

    Hivi mtu anaponyoa kiduku huwa anatafuta nini hasa? Ni tatizo la kisaikolojia?

    Frankly speaking, mimi hata nikaibiwa kitu mahali, mtu wa kwanza kumuhisi atakuwa ni mtu yeyote alienyoa kiduku, regardless amevaa vizuri vipi. Shida ni nini hasa?
  5. kikoozi

    Mtu wa computer science anaweza kujisajili na bodi ya ma-engineer upande wa computer engineer?

    Naombeni kujua wakuu. Je kama mtu amesoma computer science anaweza kujisajili na bodi ya ma engineer kwenye upande wa computer engineer?
  6. Prof Koboko

    Siioni Amani wala Upendo Jimbo la Kawe endapo Gwajima akiwa Mbunge; CCM mngeweka mtu mwingine

    Nataka niongee kama mwananchi mkazi wa jimbo la KAWE bila kuingiza chembe hata moja ya itikadi au kugusa maslahi ya mtu binafsi. Nataka nizungumze ukweli mtupu kulingana na matendo ya huyu bwana siku zote. JE, GWAJIMA ANAWEZA KULETA UPENDO NA AMANI KAWE? Naomba nisiwe mnafki niuseme tu...
  7. A

    Reginald Mengi alikuwa sio mtanzania wa kawaida, alikuwa ni mtu wa aina yake.

    Navosema reginald mengi hakuwa mtanzania wa kawaida, sisemi ivo kwasababu ya utajiri au umaarufu wake.. Ni kwasababu aliweza ku-maintain utajiri wake na aliweza ku-maintain kuishi lifestyle ya kitajiri mbele ya jamii kwa miaka 25 mfululizo, tangu mwaka 1995 alivotoa tsh million 300 za skuvi na...
  8. Lord Denning

    GE2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

    “Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo” "Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata...
  9. Webabu

    Israel yapiga inapotaka haimuogopi mtu na hakuna anayewalaumu

    Katika miaka hii ya karibuni inaonekana taifa dhalimu la Israel limezidi kiburi chake, linapiga linapotaka bila kumuogopa yeyote na hakuna anayeilaumu kwa matendo yake haya isipokuwa wale wanaopigwa. Imekuwa ni habari za kawaida kusikia imepiga hapa na pale Syria na hivi karibuni inakwenda...
  10. Naantombe Mushi

    GE2020 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla

    Charisma - compelling attractiveness or charm that can inspire devotion in others. Kwa tafsiri ya kiswahili, Charisma ni ule mvuto mtu anaokuwa nao mpaka unatamani kama anaongea aendelee kuongea. Katika siasa Charisma ni kitu cha umuhimu sana, kama huna Charisma, huwezi kuvutia watu...
  11. Determinantor

    GE2020 Rais Magufuli: Nataka Mwigulu ashinde hapa na Kitila Mkumbo ashinde Ubungo. Wote nawapenda

    Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona mmoja abaki Huko na mwingine aende Ubungo na anataka wote washinde. Angalia attachment. Tusiwe...
  12. Pascal Mayalla

    Total yatoa fursa vituo vya COCO na CODO kuzigeuza DODO! Kuwa umiliki kituo cha mafuta cha total

    Wanabodi, Japo hili ni Jukwaa la Siasa, na hii ni story ya fursa za Kiuchumi, issues zozote za utilities, umeme, maji na mafuta, ni siasa, hivyo ikitokea sintofahamu yoyote kwenye issues za mafuta ya fuel, nchi inatikisika!. Kumetokea Tangazo fulani la Total kwenye gazeti, kuna jamaa ka panic...
  13. GENTAMYCINE

    Mwana JamiiForums Mwenzangu asikudanganye Mtu na usivunjike Moyo unaweza ukakimbiwa na kudharauliwa na wengi, ila Mungu 'atakuteulia' tu wa Kukusaidia

    LIPO JAMBO KUBWA SANA LA KUJIFUNZA KWENYE STORY HII. Simulizi ya Maisha ya Kweli: Ronaldinho 'Gaucho' alipokamatwa pamoja na kaka yake Roberto Assis kutokana na kesi ya matumizi ya pasipoti bandia huko nchini Paraguay na kuwekwa kizuizini katika gereza lenye ulinzi mkali la Agrupacion...
  14. M

    GE2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwasasa Jimbo la Uvinza amejibu hoja zilizotolewa jana na Mgombea kiti cha Urais wa JM !- LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA! NIMEONA MATOBO 7 HOJA ZA LISSU! Na David KAFULILA, Agosti31, 2020. Kwanza nashukuru sasa kuona...
  15. Mwamba1961

    Kuna mtu alishawahi kutuma maombi Barrick na akaitwa?

    Habari watafutaji wenzangu, Naomba niwaulize, hivi humu ndani kuna mtu alishawahi kutuma maombi Barrick na akaitwa? Maana naona wanatoa tu matangazo ya ajira ila naona siitwi. Wewe unasema ulishawahi kuomba ajira Barrick na ukaitwa kwenye interview? Karibuni
  16. Sky Eclat

    Unapokutana na mtu mkorofi, angalia chanzo cha nguvu zake ukiweza kuidhibiti nguvu yake ukorofi ataacha

    Kuna watu mtaani hawana kauli nzuri kwa wengine, mtu anaeshindwa kuishi na binadamu wenzake, anajiona yeye yuko juu ni lazima atambue kuwa analo fanya si sahihi. Wahenga walisema asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na ulimwengu. Kuna wale vijogoo wa kuchukua wake za watu mtaani, kisa ana duka...
  17. C

    GE2020 Mnataka tuendelee kuwa na Rais wa miundombinu? Ingekuwa miundombinu ndiyo kipaumbele cha mtu wachina wasingekamatwa kwenye makontena wakizamia Ulaya

    Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo. Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
  18. Rajab_Omar

    Ivi Hawa Majirani Zetu wa Jangwani Wamekosa hata Mtu wa Kuwashauri kwenye Mavazi? Kweli kumuiga Simba SC bila hela ni kushindana na Tembo Kunya Boga

    Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba? Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi. Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini...
  19. S

    Je, kuna watu au mtu ana hisa katika kiwanda cha kutengeneza ndege au kuna manufaa fulani ya kibinafsi wanayapata?

    Inafika hatua naanza kujiuliza hivi kwasababu sioni ni kitu gani au ni faida gani inayopatikana kiasi cha kushawishi watu hawa kuendelea kununua hizi ndege. Unawezaje kuendelea kuwekeza hela nyingi katika biashaara ambayo inakutia hasara au huoni faida yake? Nawaza sana juu ya hili
Back
Top Bottom