Naombeni msaada kwa mtu ambaye ana uzoefu na biashara ya Apple

Nov 22, 2020
25
6
Wakuu habari zenu mimi nipo Arusha ila nilikuwa nataka nianze biashara ndogo ndogo nilikuwa nataka nianze kuuza apple kuwafata wateja mahali walipo maana yake kutembeza.

Sasa nilikuwa nataka nijue mwendo wa biashara sasa hivi ukoje mtaani kwasababu nimefanya biashara mda kidog na pia kwa mtu ambaye anafanya biashara kama hiyo naomba uzoefu wake kidogo kwa ushauri.

Labda box moja la apple linauzwa sh. ngapi kwa huku Arusha na faida unaweza pata sh. ngapi kwa box moja naombeni ushauri wenu.

Je ni wakati sahihi kuanza biashara January au nisubiri kwanza kwa mtu yeyote ambaye ana ushauri karibuni.
 
Kwa Dar nasikia box kuna apple kuanzia 55, 80 hadi ,120 kwa box

Bei ni elfu 65 sometime 55.

Gawanya hapo utapata bei kwa kila moja.

Reja reja wanauza buku buku.

Kuna namna ya packing mdogo wangu.

Sijawahi fanya hii biashara ila huwa napenda kufanya tafiti tu za biashara.

Nipigie 0744033555 tubadilishane mawazo

Naweza pata mke kutoka Arusha huko ukawa shemeji
 
Kwa Dar nasikia box kuna apple kuanzia 55, 80 hadi ,120 kwa box

Bei ni elfu 65 sometime 55.

Gawanya hapo utapata bei kwa kila moja.

Reja reja wanauza buku buku.

Kuna namna ya packing mdogo wangu.

Sijawahi fanya hii biashara ila huwa napenda kufanya tafiti tu za biashara.

Nipigie 0744033555 tubadilishane mawazo

Naweza pata mke kutoka Arusha huko ukawa shemeji
Shukurani karibu sana
 
Back
Top Bottom