Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

Muyohza

Member
Dec 22, 2020
51
109
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu.

Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi akileta mizengwe nakata tamaa,

Niliwahi kuapa kwamba sitakuja kutafuta mwanamke mtandaoni, lakini kumbe wa mtaani ndio hawa hawa wa mtandaoni!

Nikiangalia walionizunguka mtaani au nao wajua hawana vigezo vinavyostahili kuwa mke, ndio maana nikahisi nikitumia platform hii naweza pia nufaika au Kupanua wigo wa suala hili,

Nataka na itapendeza sana nipate mwenza awe na sifa hizi
1.Awe Mkristo
2.Awe na Wazazi wote wawili
3.Awe Hajazaa, sitaki single mother
4.Awe anatokea kanda ya ziwa itapendeza akiwa Kagera, au mchanganyiko na Rwanda au Uganda,
5.Awe na 24-30 years
6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata
7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4
8.Awe Mrefu sitaki wafupi
9.Awe mnene wastani sitaki model, lakini angalizo asiwe na tumbo kubwa wala maziwa yaliyopitiliza, (Hips na nyuma pawe safi kidogo staki flat screen)
10.Rangi ningependelea Maji ya Kunde au mweusi
11.Sitaki mtu alo cream au anayejiweka artificial sana, nataka natural
12.Usafi ni Muhimu sana

Vigezo vingine vyaweza cheza kidogo au kutotimizwa ila kigezo namba 3,4,8,9,10 ni Muhimu na Mashart kuzingatiwa,

Niko serious kwa ajili ya Ndoa,
Karibu Inbox .
Asante
 
Duh mkuu hao wenye sifa hizo ulizoainisha hapo juu hawapo desparate kihivyo. Kila la kheri
 
Mzee tupia sound mkapime weka ndani akizingua tafuta mwingine halafu repeat again 🤣
 
Mkuu ungepunguza vigezo umpata mwenza kama upo serious
Ikiwa tayari ushasema kilometre zimesoma
Kila la kheri katika kutafuta kwako
 
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu,

Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi akileta mizengwe nakata tamaa,

Niliwai kuhapa kwamba sitakuja kutafta mwanamke mtandaoni, lakini kumbe wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni!

Nikiangalia walionizunguka mtaani au nao wajua hawana vigezo vinavyostahili kuwa mke, ndo maana nikahisi nikitumia platform hii naweza pia nufaika au Kipanua wigo wa suala hili,

Nataka na itapendeza sana nipate mwenza awe na sifa hizi
1.Awe Mkristo
2.Awe na Wazazi wote wawili
3.Awe Hajazaa sitaki single mother
4.Awe anatokea kanda ya ziwa itapendeza akiwa kagera, au mchanganyiko na Rwanda au Uganda,
5.Awe na 24-30 years
6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata
7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4
8.Awe Mrefu sitaki wafupi
9.Awe mnene wastan sitaki model, lakin angalizo asiwe na tumbo kubwa wala maziwa yaliyopitiliza, (Hips na nyuma pawe safi kidogo staki flat screen)
10.Rangi ningependelea Maji ya Kunde au mweusi
11.Sitak mtu alo cream au anayejiweka artificial sana, nataka natural
12.Usafi ni Muhim sana

Vigezo vingine vyaweza cheza kidogo au kutotimizwa ila kigezo namba 3,4,8,9,10 ni Muhimu na Mashart kuzingatiwa,

Niko serious kwa ajili ya Ndoa,
Karibu Inbox .
Asante

Mkuu

Nakushauri utenge muda utazame hii show "My Ex-girl friend made me who I am today". Tizama kwa utulivu, ukimaliza utakuwa Sawa. Kisha utaishi nao kwa akili
 
Nilihudhuria misa moja ya ndoa yule fr alisema "Siyo kila mtu aliumbwa kwa ajili ya kuoa au kuolewa na siyo wote wana sifa za kuolewa/kuoa wengine waliumbwa kuishi wenyewe hivyohivyo".
Kumbe! Sasa mbona jamii haielewi hii unachukuliwa kivingine usipo oa/olewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom