Huyu jamaa kwenye picha amekuwa akishikiliwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali huko Ontario, Canada.
Huyu jamaa alikamatwa huko Toronto mwaka 2013 kwa tuhuma za kutapeli kiasi cha dola laki nne. Jamaa alidai kwamba jina lake ni Herman Emmanuel Fankem, raia wa Ufaransa anayeishi Montreal. Hata...
Sheria ya Utwaaji wa Ardhi ( Land Acquisition Act Cap. 118 R.E. 2002 katika kifungu chake cha 3 imempa nguvu na madaraka Rais ya kuchukua ardhi inayomilikiwa na mtu binafsi kwa ajili ya manufaa ya umma.
Rais anaweza kufanya hivi endapo tu ataona au watu wanataka ardhi hiyo kwa ajili ya...
Kwakweli tuhuma za unoko ni mtambuka mahali pengi katika mazingira tuishiyo.
Tuhuma kama ooh yule mnoko wa boss ama vinginevyo ni sehemu ya kauli tuziishizo hasa katika maeneo yetu ya kazi.
Ajabu ukiwa na msimamo fulani wa kutokukubaliana na wengine tuhuma ya unoko itakuhusu!
Wenzako...
Katavi. Katarina Zebedayo (38) mkazi wa kijiji cha Kabanga Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika amefariki dunia huku watu wengine wanane wakilazwa baada ya kula nyama ya mzoga wa nguruwe pori.
Akizungumza leo Jumamosi Desemba 12, 2020 kamanda wa polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga amesema...
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe.
Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana".
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu
Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema
Kama...
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana.
Maendeleo hayana vyama!
Muungano wa JMTZ ni copy & paste ya Muungano wa nchi ya Uingereza ambapo England ndo nchi kubwa, lkn huwezi kukuta hata siku moja mtu wa England akijishughulisha na mambo ya Scotland au sijui Ireland, watu wa huko Scotland ndiyo wanaohangaika kudai haki zao kutoka England, lkn hapa kwetu ni...
Kuna tabia flani ntaaita ya kishwaini ambayo tunayo wabongo hasa wenye sijui ni ushamba au, mtu kakuomba assistance katika jambo lake flani au kakwama hivi...
Unampa shavu halafu baadae huko ni mwendo wa kujisifia tu kwa watu. "David amepata kazi bana ila bila mie kufanya mambo pale Airtel...
Habari wapendwa,
Ilikuwa mida ya jioni narudi zangu nyumbani kutoka mihangaikoni, Ile sasa ndiyo tumefika Makumbusho, nikawa nataka kushuka ili nipande daladala nyingine inayoelekea huko duniani kwetu.
Bahati mbaya gari niliyokuwepo ilikuwa inaelekea Goba, sasa lile fujo lake kwa wanaogombania...
Nimekutana na hii habari. Mimi bado nina maswali mengi
=====
Kijana aliyefariki tangu mwaka 1994 amepatikana na kukukutana tena na familia yake
Mama yake amemtambua na kujiridhisha kuwa ni mwanaye baada ya kutambua baadhi ya maeneo ya mwili wake
Kijana huyo hana uwezo wa kuzungumza kwa sasa...
Wanajamvi,
Kama kwenye Taifa kuna mtu au kikundi cha watu ambao wako juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa hilo siyo huru. Bali litakuwa linaongozwa na kundi hilo.
Ngoja kitu kimoja tulivyokuwa wajinga kama Taifa. Na ujinga siyo tusi, maana unafutika, ila ni adui mkubwa wa maendeleo tokea...
Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania, na huwa naliona katika mihimili mitatu ya usimamizi wa nchi, kuanzia Raisi, Spika, Mwanasheria Mkuu na hata mahakimu katika mahakama zetu!
Viongoi wetu wamefika mahali wanavunja Katiba, Sheria au Taratibu zinazokubalika kwa ulevi tu wa hisia zao binafsi.
Na...
Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda sehemu akaufanye vizuri/ kujiajiri vizuri.
Hizi kozi ziwe fupi tu, mwezi mmoja hadi miezi mitatu. Ni...
Habari zenu,
Waswahili husema wendawazu ni kufanya jambo ulilofeli awali kwa namna ileile lakini ukitegemea ushindi.
Watu wengi Afrika wana bidii ya kutafuta fedha au maisha lakini maisha yenyewe hawayaoni. Afrika wananchi hurogana ili tu kuipa furaha mioyo yao ya wivu.
Haijalishi umesoma au...
Ukistaajabu ya Abdallah Shonde utayaona ya "Babu Lembrice Peter" mwalimu mtarajiwa shule ya msingi Maliwa.
Tukiwa tunaendelea kubaini madudu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira mpya za walimu, nimebaini kuna mtu ameajiriwa kwa kutumia index namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine...
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.
Taarifa...
Kwa akili ya kawaida mwanaume anaejielewa hawezi kufanya haya. Imefika wakati baada ya mazoea ya kusuka "twende kilioni" naona kaanza kuvaa na zile ''hereni kubwa" za akina mama.
Muda utaongea. Tuendelee kuwa watazamaji.
Kuna wakati nawasiliana na mtu WhatsApp and tunataka kutrade vitu fulani lakini Nakuwa nakosa amani naye, natamani kama ningejua alipo ili akinizingua nimtimbie, sasa ndio nikaja hapa kuomba msaada kama kuna namna naweza kupata location.
Kumekuwa na mawazo kwamba ofisi zenye mamlaka zinafanya fojari kwenye taarifa zake kwa faida za kisiasa. Japo hili halijathibitishwa.
Mfano
Mnyika wa CHADEMA amesema hajapeleka majina yoyote NEC ila NEC inasema Mnyika amesaini barua yenye majina ya Wabunge wa Viti Maalum hapa Kuna harufu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.