Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

Muyohza

Member
Dec 22, 2020
27
75
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu,

Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi akileta mizengwe nakata tamaa,

Niliwai kuhapa kwamba sitakuja kutafta mwanamke mtandaoni, lakini kumbe wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni!

Nikiangalia walionizunguka mtaani au nao wajua hawana vigezo vinavyostahili kuwa mke, ndo maana nikahisi nikitumia platform hii naweza pia nufaika au Kipanua wigo wa suala hili,

Nataka na itapendeza sana nipate mwenza awe na sifa hizi
1.Awe Mkristo
2.Awe na Wazazi wote wawili
3.Awe Hajazaa sitaki single mother
4.Awe anatokea kanda ya ziwa itapendeza akiwa kagera, au mchanganyiko na Rwanda au Uganda,
5.Awe na 24-30 years
6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata
7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4
8.Awe Mrefu sitaki wafupi
9.Awe mnene wastan sitaki model, lakin angalizo asiwe na tumbo kubwa wala maziwa yaliyopitiliza, (Hips na nyuma pawe safi kidogo staki flat screen)
10.Rangi ningependelea Maji ya Kunde au mweusi
11.Sitak mtu alo cream au anayejiweka artificial sana, nataka natural
12.Usafi ni Muhim sana

Vigezo vingine vyaweza cheza kidogo au kutotimizwa ila kigezo namba 3,4,8,9,10 ni Muhimu na Mashart kuzingatiwa,

Niko serious kwa ajili ya Ndoa,
Karibu Inbox .
Asante
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,828
2,000
Jamaa ana masharti kinoma.. Ungeweka na wewe vigezo vyako..

Mfano:

5.Awe na 24-30 years (Na wewe Sema Umri wako)

6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata (Na wewe sema kama unayo)

7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4 (Na wewe sema Elimu yako)

8.Awe Mrefu sitaki wafupi (Taja urefu wako kama ni milimeta 10 au chini)

Na wao wana machaguo ujue.
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
1,559
2,000
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu,

Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi akileta mizengwe nakata tamaa,

Niliwai kuhapa kwamba sitakuja kutafta mwanamke mtandaoni, lakini kumbe wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni!

Nikiangalia walionizunguka mtaani au nao wajua hawana vigezo vinavyostahili kuwa mke, ndo maana nikahisi nikitumia platform hii naweza pia nufaika au Kipanua wigo wa suala hili,

Nataka na itapendeza sana nipate mwenza awe na sifa hizi
1.Awe Mkristo
2.Awe na Wazazi wote wawili
3.Awe Hajazaa sitaki single mother
4.Awe anatokea kanda ya ziwa itapendeza akiwa kagera, au mchanganyiko na Rwanda au Uganda,
5.Awe na 24-30 years
6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata
7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4
8.Awe Mrefu sitaki wafupi
9.Awe mnene wastan sitaki model, lakin angalizo asiwe na tumbo kubwa wala maziwa yaliyopitiliza, (Hips na nyuma pawe safi kidogo staki flat screen)
10.Rangi ningependelea Maji ya Kunde au mweusi
11.Sitak mtu alo cream au anayejiweka artificial sana, nataka natural
12.Usafi ni Muhim sana

Vigezo vingine vyaweza cheza kidogo au kutotimizwa ila kigezo namba 3,4,8,9,10 ni Muhimu na Mashart kuzingatiwa,

Niko serious kwa ajili ya Ndoa,
Karibu Inbox .
Asante
Kigezo no11,wanaweza kukichezea kidogo

labda in short hivyo vigezo vya lazima ndiyo vilivyokuchelewelesha.Ila Angalizo tuu mkuu,kuna wemgine watawaacha watoto wao kwa bibi zao,halafu watakuwa siyo single mothers.

ushauri wangu ni kwamba uwe na muda kidogo wa kutosha wa Kumuomba Mungu na kufahamiana na mtarajiwa wako ili usije kufa kabisa,maana round hii unaweza ukaumizwa kiasi cha kufa.

Otherwsie,kama hii sredi yako siyo ya kiutapeli nikutakie kila raheli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom