Sina kazi na nahitaji pesa km kuna mtu ana kazi/kibarua cha muda na anahitaji usaidizi au mtu wa kufanya tafadhali nipo hapa

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,520
2,000
Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia nguvu na za akili pia nahitaji nipo teyari kuifanya kazi yako vizuri.

Kwa mwenye kazi au connection ya kazi tafadhali nijulishe mm nitakufuata dm kwa mawasiliano zaidi.
 
JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,717
2,000
Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia nguvu na za akili pia nahitaji nipo teyari kuifanya kazi yako vizuri.

Kwa mwenye kazi au connection ya kazi tafadhali nijulishe mm nitakufuata dm kwa mawasiliano zaidi..
Neno "teyari" limekuondolea sifa maana limeonesha wewe ni mhuni tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom