Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,838
2,000
Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo au hana uzoefu lakini akionyeshwa fursa anaweza kuchakarika kuigeuza bidhaa kuwa fedha. anaweza kuwa na elimu ya kidato cha Nne, Sita, cheti au stashahada kwenye masoko. aliye tayari kujituma na kukabidhiwa biashara ili apambane.

Uaminifu unatakiwa kwa kiwango kikubwa sana kwa kuwa utajisimamia mwenyewe! anayehisi kwamba anaweza kubeba jukumu hili anifuate inbox tuyajenge, kabla ya kupeana fursa yenyewe!

Karibu.
 

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
892
1,000
Mkuu ingekuwa vzr ungeelezea kidgo ni kazi ya mauzo ya kitu gani ili kupunguza maswali dm na kupata muhitaji kwa urahisi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom