mtu

  1. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Hiv mtu akisema yeye ni virgo, anamaanisha nini?

    Hiv mtu akisema yeye ni virgo, anamaanisha nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mtu mweusi maskini akipata hela nyingi anakuwa limbukeni

    Inakuwaje wanaJF! Ni ulimbukeni kujirokodi ama kupost I na mihela mingi. It is a very sad display and lack of humanity and dignity.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, "mtoto wa Nyoka ni Nyoka"

    "MTOTO WA NYOKA NI NYOKA" Na, Robert Heriel Panya huzaa panya Paka huzaa paka Mbwa huzaa mbwa.,.....n.k Mtoto wa nyoka ni nyoka, wahenga walisema kisha wakaongezea, maji hufuata mkondo. Baadaye Yesu wa Nazareth akasema; huwezi chuma tini kwenye zabibu" Hii ni kusema, muembe huzaa maembe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu anapouaminisha Umma kuwa atakuwa Rais bora kupitia hulka za mtu aliyesomea Sheria

    Kwanza nikiri wazi kwamba mtaji wa siasa ni maneno matamu, lakini siasa ni adui mkubwa wa ufahamu na nirafiki wa shetani, mwanasiasa si wa kumwamini 100% kwa sababu siasa ndio chanzo mabaya yote duniani. Tokea nimemfahamu mtu aitwaye Tundu Lissu nimejifunza kitu baada ya kufuatilia watu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa

    Huyu mtu pamoja na kiburi alichonacho, hivi sasa anaishi kwa hofu na mashaka kwani anajua lolote linaweza kutokea Oktoba 28 na ndio maana mnamuona anahangaika kutoa kauli za kujaribu kurekebisha makosa yake ya Siku za mwanzo (kavurugwa). Ukweli ni kwamba, anajua uwezekano wa yeye kushinda ni...
  6. Palestine Will be free

    JamiiForums Tanzania Waafrika nani katuloga lakini?

    Hivi ni mimi tu pekeangu huwa najionea kwa hawa ndugu zangu weusi wakiwashangaa white people's! Akionekana muzungu anatembea iwe kwa miguu ama kwa gali wanamshangaa, akionekana mwarabu, mhindi ama mchina wanamshangaa ata kama wanaishi mji mmoja but watamshangaa tu,kana kwamba awajawai kuwaona...
  7. mike2k

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia ya rahisi ya kumkamata mtu anayekudanganya/muongo

    Kwenye maisha ya kila siku tunakuwa tunakutana na watu mbalimbali kuna time tunahitaji majibu ya ukweli especial kwenye mahusiano. Hizi ni alama za kutambua kama mtu anadanganya. 1. If he raises his eyebrows when he says "How would I know", then he probably knows. 2. Ask him questions. If he...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu yangu; Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata kidogo. Unaweza ukadhurika au kuuwawa kwa bahati mbaya (Mistaken Identity); Huko mtaani mnapoishi...
  9. mbikagani

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwenye wimbo wa Munishi kuhusu CCM, naomba

    Habari wana JF! Please, kama kuna mtu ana kile kibao cha yule mwanamuziki Munishi kinachoitwa CCM naomba anipatie hapa. Yule jamaa yupo wapi siku hizi? "miss sana yule mtu"
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kampuni/ofisi yenu inahitaji mtu wa IT?

    Msaada, kazi yoyote inahitajika. Habari ndugu na poleni na michakato ya uchaguzi, kijana hapo chini anatafuta ajira lakini pia anaweza kufanya freelancing yaani kama una kazi ya mara moja unampatia kwa makubaliano. Elimu: Bachelor's degree(IT) Experience: 5 years. - Network and System...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

    Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote. Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hatutaki kuongozwa na mfumo ambao kila mtu kwenye taifa anakuwa mateka

    Kwakweli Kama tunataka mustakabali mwema wa taifa Basi tufwate matakwa ya wananchi. Waacheni watu wachague wamtakae msiwachagulie watu Nani wa kuwatawala. Mfumo wa Sasa umemfanya kila mtu kuwa mateka (terrorised) society. Binadamu amezaliwa huru kabisa na mungu ametupa Uhuru toka day one...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Hivi mnajua, kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo, lakini akakupa ushauri wa maana wenye thamani mara 3 zaidi ya pesa uliomuomba? This is my true story ========= Siku moja nikiwa chuo kikuu...
  14. 911sep11

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu mwingine anacharaza GUITAR kama huyu mwana mama?

    Kwanza nimeshindwa kuamini nilipo iona hiyo clip kwa mara ya kwanza Maana mkono wa huyo mama unatereza juu ya nyuzi za gita kama moja ya mikono ya wale viumbe walioumbwa pamoja na lusifa Sasa nisikuchoshe video ina dakika 2 na sekunde 42. Nina uhakika ukifika sekunde ya 58 utakuwa umeshakubali...
  15. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha naye biashara

    Naitwa max Fernandez nipo DSM nahitaji mtu wa kushea naye biashara
  16. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kila mtu anataka kuwa developer, yaani any form of developer! kwanini unajisumbua?

    Haswa kwa wanaume, ila wanawake mnajielewa sana pongezi kwenu. Basi siku za hivi karibuni kila mtu anataka kuwa developer, oh! si dhambi, lakini inagharimu muda, pesa na nguvu. Mtu anashida flani inayohitaji developer basi anajifanya mjanja mjanja huku anataka solution bila kughalimia...
  17. FYATU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

    "Hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo. Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye...
  18. mathsjery

    JamiiForums Tanzania IT, ICT, CS students wanaokimbia chuo ili kuwa mabillgates hapa Tanzania hawawi hivyo hata kwa mtaa tu, kwanini?

    Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia. Je, wewe unasemaje? Tuwasaidie watakao drop baadae😊
  19. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

    Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi? NAHITAJI MAJIBU
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Usipende kuweka namba yako ya simu mitandaoni bila sababu. Ni rahisi kumdukua mtu ukiijua namba yake ya simu

    Napenda kuwapa ushauri wana JF wenzangu. Mjitahidi kulinda privacy zenu huko Facebook, Instagram, Twitter n.k. Kuna watu wakiipata tu namba yako wanakudukua kiulaini. Nimewahi kufanya research na kugundua ni rahisi sana kumdukua mtu kwenye mtandao wa kijamii ikiwa tu utaijua namba ya simu...
Back
Top Bottom