Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda sehemu akaufanye vizuri/ kujiajiri vizuri.
Hizi kozi ziwe fupi tu, mwezi mmoja hadi miezi mitatu. Ni...
Habari zenu,
Waswahili husema wendawazu ni kufanya jambo ulilofeli awali kwa namna ileile lakini ukitegemea ushindi.
Watu wengi Afrika wana bidii ya kutafuta fedha au maisha lakini maisha yenyewe hawayaoni. Afrika wananchi hurogana ili tu kuipa furaha mioyo yao ya wivu.
Haijalishi umesoma au...
Ukistaajabu ya Abdallah Shonde utayaona ya "Babu Lembrice Peter" mwalimu mtarajiwa shule ya msingi Maliwa.
Tukiwa tunaendelea kubaini madudu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira mpya za walimu, nimebaini kuna mtu ameajiriwa kwa kutumia index namba ya kidato cha nne ya mtu mwingine...
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.
Taarifa...
Kwa akili ya kawaida mwanaume anaejielewa hawezi kufanya haya. Imefika wakati baada ya mazoea ya kusuka "twende kilioni" naona kaanza kuvaa na zile ''hereni kubwa" za akina mama.
Muda utaongea. Tuendelee kuwa watazamaji.
Kuna wakati nawasiliana na mtu WhatsApp and tunataka kutrade vitu fulani lakini Nakuwa nakosa amani naye, natamani kama ningejua alipo ili akinizingua nimtimbie, sasa ndio nikaja hapa kuomba msaada kama kuna namna naweza kupata location.
Kumekuwa na mawazo kwamba ofisi zenye mamlaka zinafanya fojari kwenye taarifa zake kwa faida za kisiasa. Japo hili halijathibitishwa.
Mfano
Mnyika wa CHADEMA amesema hajapeleka majina yoyote NEC ila NEC inasema Mnyika amesaini barua yenye majina ya Wabunge wa Viti Maalum hapa Kuna harufu ya...
DOWN TOWN KITAMBO
Kuna Mshkaji wangu mmoja, kipindi hicho naishi Segerea.. Siku moja, ilikuwa Jumamosi, akanipitia home, akaniambia twende Mikocheni saloon.
Kweli pamoja na kuishi Segerea, bado misele yangu mingi ilikuwa around Mikocheni na viunga vyake. Sasa nikamuuliza what's so special...
Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu).
Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter
Marejeo :
Ulikuwa umejijengea heshima ndani na nje ya nchi, ndani na nje ya bunge, tambua nguvu na heshima yako ilijengwa na sapoti ya wananchi waliokuzunguka hasa wanachama na viongozi wenzako wa Chadema ambao leo unataka kuwasaliti.
Kumbuka ulipokuwa jela ni wanachadema hawa hawa walikuchangia utoke...
Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya iwe sasa jamaa ni mwathirika sasa si atakuwa kashawamaliza dada na mdogo wake? Kingine namlaumu sana...
Wakati kina Zitto, Sarungi, kina Lissu n.k wakiendelea kusambaza uongo juu ya nchi yao na hali ya kisiasa nchini, kule kwa wenzetu Ulaya, Amerika na sehemu zingine zilizostarabika na kuheshimiana, kusema uongo tu ni sababu tosha ya kuwajibishwa kisiasa na hata kutolewa katika nafasi mtu...
Kuna uwezekano mkubwa Kijana na Mwanasiasa Machachari nchini Uganda Robert Kyagulanyi ( alias ) Boby Wine akawa ana Ndugu yake wa Damu kabisa huku Tanzania aitwae Maxence Melo ila bado hajafahamishwa tu. Ukiwaangalia hawa Wawili wala hutopata shida kuhisi kuwa huenda wakawa ni Ndugu kabisa kwani...
tuko katika mkakati wa kutengeneza na kukuza brand yetu mtu wa masoko ni muhimu hivyo basi
kama unadhani ww ni mbunifu, mchapakazi ,unafikiri nje ya box ,
tuambie kwanini ni ww na si mwingine kwa maneno machache tupe pia uzoefu na ujuzi wako kwa kifupi
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani...
Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa.
Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo...
Mkurugenzi mtendaji wa JamiiForums amesema anashukuru sana kwa kuwa sasa ni mtu huru kutembea nje ya Dar-es-Salaam bila kizuizi chochote cha kisheria.
Awali alikuwa na zuio, ambalo lilikuwa linamtaka apate ruhusa maalumu ya kutoka nje ya Dar kutokana na kesi zilizokuwa zinaikabili JamiiForums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.