Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha.

Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo.

Tuambie kwanini ulifikia uamuzi wa kufanya mapenzi na Mtu wa Mtu?

MIMI

Yule dada mimi nilikuwa ni mteja wake mkubwa wa chakula hapa mjini (kazini kwangu). Binafsi nilikuwa nimezoeana na wafanya kazi wake ambao ndio walikuwa ni rika langu na nilibahatika kupita na mmoja

Lakini wakati naendelea na mapenzi na yule dada, akaja akasema kuwa "Aisee mzee wa kasumba dada (bosi wao) anaonekana anakupenda sana. Maana kila siku lazima akutaje, halafu ukiongea naye kwenye simu unapotoa oda ya chakula huwa anakuwa kalegea kweli yani. Au umeshapita naye... Maana we nawe mh:rolleyes:"

Nilipomchunguza yule mmama niligundua kweli ananipenda sana. Nikasema ngoja kwakuwa ameonesha upendo kwangu huenda tu anaona aibu kunambia. Wacha nimsaidie.

Siku moja nikamtongoza bana - Khaa kitu ambacho sikuamini ni kwamba ALIKATAA KATA KATA😄. Aisee nilijiona boya na sikuamini kilichonitokea.

Nilijilazimisha kuamini, na kwakuwa nilikuwa kama najaribu tu sikuwa na time nae tena.

Siku mbili baadaye, nikiwa naagiza chakula kama kawaida akanitumia ujumbe "KWAIYO NDO UMENUNA?" Ujumbe ule sikuujibu. Akatuma tena "UKIWA NA MUDA NTAFUTE TUONANE"

Nkaona huyu bi mama anataka kunizoea sasa. Ngoja nimuoneshe kasumba za watu jinsi zilivyo. Nikamjibu sawa je tuonane wapi? Akasema popote. Nkamwambia labda gesti... Akachekaaaa kisha akaguna mh gesti tena?

Baada ya hapo sikumjibu tena. Usiku akanitafuta na kuniuliza je umeshatafuta chumba? Nikaona nyama inajileta sasa mashauzi kwisha.

Mjinga nikakimbia mtaa wa pili kule chini nikachukua chumba nikamuelekeza akaja. ALipokuja hakukua na maswali wala ushauri wala mazungumzo. Ilikuwa ni show flani ya kawaida tu wala haikuwa na maajabu yoyote maana sikuitilia maanani sana.

MAZUNGUMZO BAADA YA SHOW
Tulizungumza mengi sana, ila nilichogundua kuwa ndugu zetu ambao mmeoa, hawa wamama / wadada kuna baadhi yenu (sio wote) kwakweli hamuwatendei haki.

Jamaa anaondoka miezi 6 bila kurudi kwake, mwanamke alishe familia yeye na kila kitu. Yume mmama kwa maelezo yake alikuwa na miezi takriban mitano hajakutana na mume wake kimwili.

Kuna muda ana miss kukumbatiwa, anamiss kupetiwa petiwa, ana miss kudekezwa na mambo mengi lakini mwanaume hana muda huo na a kija ni siku tatu anaondoka tena.

Kiukweli mnatupa majaribu sasa vijana ambao bado hatujaoa juu ya hawa wake zenu. Kuna muda nasi tunashindwa kuji control kutokana na ubinadamu.

HITIMISHO
Nashukuru yule mama nilibahatika kumpotezea baada ya kutembea kama mara tatu ama nne hivi. Bado tunaonana lakini ki biashara kwa sasa nimemhama kuepusha mambo ambayo yanaepukika.

WITO
Ukitembea na mke wa mtu ni rahisi sana mke wa mtu mwingine kukutaka ama kukupenda. Sijajua tatizo liko wapi...... Siku nikipata muda nitaleta kisa cha mke wa jamaa wa F. F. U

SWALI
Kitu gani kilikufanya utembee na mke / mume wa mtu?
 
Kuna mama mmoja yuko na watoto wawili hivi, ni mwl. Wa shule flani.. Nilianza kuwasiliana nae mdogo mdogo.. kazuri balaa yaani.
Nikatupia nyavu kakawa ile nataka staki. Nikakapotezea, kenyewe kananicheki.

Ila kila kakija mtaani kwetu kanataka kanione, one time kakaja geto mida flani mvua heavy inapiga kinoma..
Mama kanipa bonge la show.. uchi kama vile hajawahi zaa.

Nilichogundua hawa wake za watu ni watamu sana.. halafu hawana vizinga wala si wasumbufu.

Saivi kila asubuhi na jioni kabla ya kulala lazima anjulie hali.

Naamini nikiwa sipo na wife huwa wanamshughulikia kisawasawa.

Sema nini Wife akiwapa Zigo "Nyie Mpelekeeni Moto"
 
Kuna mke wa mtu ananikubali chanzo hata cjui nn ila tulikutana tu kwenye mishemishe ana watoto wawili mme wake ni mtu wa kusafiri kilichobaki saivi nangoja nile mzigo tu na kashakubali Jaman uzuri wa hawa huwaga hawana mambo mengi ila ukifumwa
 
Kuna mama mmoja yuko na watoto wawili hivi, ni mwl. Wa shule flani.. Nilianza kuwasiliana nae mdogo mdogo.. kazuri balaa yaani.
Nikatupia nyavu kakawa ile nataka staki. Nikakapotezea, kenyewe kananicheki.

Ila kila kakija mtaani kwenu kanataka kanione, one time kakaja mida flani mvua heavy inapiga kinoma..
Mama kanipa bonge la show.. uchi kama vile hajawahi zaa.

Nilichogundua hawa wake za watu ni watamu sana.. halafu hawana vizinga wala si wasumbufu.

Saivi kila asubuhi na jioni kabla ya kulala lazima anjulie hali.

Naamini nikiwa sipo na wife huwa wanamshughulikia kisawasawa.
😂😂ndio mkuu wife wako wanamshugulikia haswahaswa What goes around comes around
 
Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha.

Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo.

Tuambie kwanini ulifikia uamuzi wa kufanya mapenzi na Mtu wa Mtu?

MIMI

Yule dada mimi nilikuwa ni mteja wake mkubwa wa chakula hapa mjini (kazini kwangu). Binafsi nilikuwa nimezoeana na wafanya kazi wake ambao ndio walikuwa ni rika langu na nilibahatika kupita na mmoja

Lakini wakati naendelea na mapenzi na yule dada, akaja akasema kuwa "Aisee mzee wa kasumba dada (bosi wao) anaonekana anakupenda sana. Maana kila siku lazima akutaje, halafu ukiongea naye kwenye simu unapotoa oda ya chakula huwa anakuwa kalegea kweli yani. Au umeshapita naye... Maana we nawe mh:rolleyes:"

Nilipomchunguza yule mmama niligundua kweli ananipenda sana. Nikasema ngoja kwakuwa ameonesha upendo kwangu huenda tu anaona aibu kunambia. Wacha nimsaidie.

Siku moja nikamtongoza bana - Khaa kitu ambacho sikuamini ni kwamba ALIKATAA KATA KATA😄. Aisee nilijiona boya na sikuamini kilichonitokea.

Nilijilazimisha kuamini, na kwakuwa nilikuwa kama najaribu tu sikuwa na time nae tena.

Siku mbili baadaye, nikiwa naagiza chakula kama kawaida akanitumia ujumbe "KWAIYO NDO UMENUNA?" Ujumbe ule sikuujibu. Akatuma tena "UKIWA NA MUDA NTAFUTE TUONANE"

Nkaona huyu bi mama anataka kunizoea sasa. Ngoja nimuoneshe kasumba za watu jinsi zilivyo. Nikamjibu sawa je tuonane wapi? Akasema popote. Nkamwambia labda gesti... Akachekaaaa kisha akaguna mh gesti tena?

Baada ya hapo sikumjibu tena. Usiku akanitafuta na kuniuliza je umeshatafuta chumba? Nikaona nyama inajileta sasa mashauzi kwisha.

Mjinga nikakimbia mtaa wa pili kule chini nikachukua chumba nikamuelekeza akaja. ALipokuja hakukua na maswali wala ushauri wala mazungumzo. Ilikuwa ni show flani ya kawaida tu wala haikuwa na maajabu yoyote maana sikuitilia maanani sana.

MAZUNGUMZO BAADA YA SHOW
Tulizungumza mengi sana, ila nilichogundua kuwa ndugu zetu ambao mmeoa, hawa wamama / wadada kuna baadhi yenu (sio wote) kwakweli hamuwatendei haki.

Jamaa anaondoka miezi 6 bila kurudi kwake, mwanamke alishe familia yeye na kila kitu. Yume mmama kwa maelezo yake alikuwa na miezi takriban mitano hajakutana na mume wake kimwili.

Kuna muda ana miss kukumbatiwa, anamiss kupetiwa petiwa, ana miss kudekezwa na mambo mengi lakini mwanaume hana muda huo na a kija ni siku tatu anaondoka tena.

Kiukweli mnatupa majaribu sasa vijana ambao bado hatujaoa juu ya hawa wake zenu. Kuna muda nasi tunashindwa kuji control kutokana na ubinadamu.

HITIMISHO
Nashukuru yule mama nibahatika kumpotezea baada ya kutembea kama mara tatu ama nne hivi. Bado tunanonana lakini ki biashara kwa sasa nimemhama kuepusha mambo ambayo yanaepukika.

WITO
Ukitembea na mke wa mtu ni rahisi sana mke wa mtu mwingine kukutaka ama kukupenda. Sijajua tatizo liko wapi...... Siku nikipata muda nitaleta kisa cha mke wa jamaa wa F. F. U

SWALI
Kitu gani kilikufanya utembee na mke / mume wa mtu?
Kutembea na Mwanamke aliyeolewa ni kujishushia hazi kwa Mwanaume, ni kula matapishi ya mwanaume mwenzako ni kinyaa. Kuna wasichana kibao hawajazaa unakimbiliaje mama wazee, wenzako wameshakula mpaka wamekongoroka
 
Back
Top Bottom