Jamaa yangu anakula dada na mdogo wake

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Yaani huyu jamaa ana roho ngumu sana kaamua kuchanganya wote maana mdogo mtu ni mzuri kuliko dada mtu ila kinachoniuma mdogo mtu bado anasoma na kingine zaidi najiuliza endapo kwa bahati mbaya iwe sasa jamaa ni mwathirika sasa si atakuwa kashawamaliza dada na mdogo wake? Kingine namlaumu sana huyu dada kumtambulisha mdogo wake kwa jamaa.

Nyie wanawake kwenye mahusiano msipende kuwatuma wadogo zenu kwa shemeji yao kwani baadhi ya wanaume sio waaminifu.

index 1.jpg
 
Ndio yule mshikaji anaitwa mng'ato ?
Hapana kama alifanya basi tukio linafanana tu, ni ndugu yangu, jamaa alikuwa na pesa na alikuwa anahonga vizuri tu.

Ndugu zake wa kike wakaingia tamaa kwa jinsi jamaa alivyokuwa anahudumia familia
s o mdada mtu wakaanza kujipendekeza, jamaa naye akawa anatembeza rungu kama comrade kipepe.
 
Back
Top Bottom