Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
3,835
2,000
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.

Taarifa zinazorindima katika magrupu ya wanaccm na UVCCM ikiwemo ni kwamba nafasi hii ya Katibu Uenezi na itikadi unaenda kutwaliwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Nawasilisha
 

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
5,126
2,000
Baada ya CCM kulawiti uchaguzi mkuu sasa wataanza kulawitiana wenyewe kwa wenyewe!

Mungu hajalala,yupo kazini!
Wewe utaendelea kulalama hivi hivi tu hadi kiama ya mwili wako, badili mitazamo kijana,uchaguzi ushaisha leteni hoja zenye mashiko, sio haya maneno ya kukalili

All in all kila la kheri kwa mh polepole
 

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,477
2,000
Sifikiri kama CCM watataka kuweka mtu ambaye sio smart. HP ni smart hata kama wengine hatumpendi. PM sioni kama ni smart kutosha kuvaa viatu vya HP. Maoni yangu tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom