Nawezaje kupata location ya mtu kwa simu

Ila naona hakuna aliyekupa jibu halisi woote wamecoment tu ila kuna apps kadhaa za kufanya hiyo kazi mosi kuna znazochwav kwa kutumia push locks ambaxo hizi ata mtu mwenye simu ya kitochi ukimpigia au ukimtext moja kwa moja unajua aliko nearby na mnara ambao signal zake znatokea piah kuna apps za kukupa accurate location's endapo mtu huyo anatmia smrt pne.... Ntalmalzia bda
Kuna wakati nawasiliana na mtu WhatsApp and tunataka kutrade vitu fulani lakini Nakuwa nakosa amani naye, natamani kama ningejua alipo ili akinizingua nimtimbie, sasa ndio nikaja hapa kuomba msaada kama kuna namna naweza kupata location.
 
Ndomaana kuna kaugum flani kamewekwa na makampuni ya mawasiliano ingekua rahisi bas mtu akikuzngua tu unachek alipo unamfata unachapa risasi kesi zngekua nying sanaa ata ivyo kujua Location ya mtu ni vigum haswaa sim iwe offline ata polisi kutafta sim zilizoibiwa uwa wanategemea kampuni za mawasiliano kwa asilimia kubwa sana
Ngoja waje, ila kwa njia ya kawaida ni ngumu, kwa whatsapp ndio mana nimesema kwenye whatsapp.
 
Ila naona hakuna aliyekupa jibu halisi woote wamecoment tu ila kuna apps kadhaa za kufanya hiyo kazi mosi kuna znazochwav kwa kutumia push locks ambaxo hizi ata mtu mwenye simu ya kitochi ukimpigia au ukimtext moja kwa moja unajua aliko nearby na mnara ambao signal zake znatokea piah kuna apps za kukupa accurate location's endapo mtu huyo anatmia smrt pne.... Ntalmalzia bda
Umeenda wapi?
 
Hiyo ya push locks ndio naitaka, hadi kwenye kitochi 😜
 
Ila naona hakuna aliyekupa jibu halisi woote wamecoment tu ila kuna apps kadhaa za kufanya hiyo kazi mosi kuna znazochwav kwa kutumia push locks ambaxo hizi ata mtu mwenye simu ya kitochi ukimpigia au ukimtext moja kwa moja unajua aliko nearby na mnara ambao signal zake znatokea piah kuna apps za kukupa accurate location's endapo mtu huyo anatmia smrt pne.... Ntalmalzia bda
Braza, weka kila kitu hadharani mbona unatuonjesha?
 
Unaweza kutumia link ambayo unamtumia akifungua itakutumia IP address kwenye account ya website inayotoa hiyo service. Then utaisoma IP kwa kutumia website na utapata location (nchi) na mtoa huduma wa mtandao anaotumia (ISP) na coordinates ambazo unazisoma kwenye ramani kujua eneo husika. Kujua nchi aliyopo ni 100% ila kwa kusoma coordinates inahitaji ujuzi katika map reading na sina hakika kama inaweza kuwa effective 100%
 
Nilishawahi kutumia hii njia kwenye whatsapp, nilimtumia jamaa link yeye actually alikuwa Mwanza ila ikanionesha yupo Kigoma, nikaona wanazingua. Kumbe hii njia ipo accurate kwenye scale ya nchi. Ila kwangu mimi ilikuwa inanipa hadi coordinates za location sasa sijui hizo coordinates zipo accurate to a large area scale, I don know!
 
Back
Top Bottom