mtu

  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba kila mtu ana kaharufu kake

    Yaani hata uoge vipi ka harufu kako katakuwepo tu, wewe huto kasikia, watakasikia watu wa pembeni yako. Hata ujisugue mwili mzima na limao katakuwepo tu. Ukido, kanahamia na kwa mwenzako, mnatengene kaharufu kenu kengine. Ukizini na mchepuko ukirudi home, hata uoge vipi, mwenzako atakahisi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

    Napenda kila mtu ajuwe Kiongozi ni mwanadam kama sisi ila sote hatuwezi kuwa viongoz nilazima mtu mmoja asimame kwa niaba ya wengine kwa mataifa ya Dunia ya kwanza nafasi nyeti za kitaifa kuzipata unapita ktk moto na mara nyingi Huwa ni elite people wanapata hizo nafasi. Wenzetu wana angalia...
  3. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu atakayenipunguzia mzigo wa filamu kwa bei ya jumla

    Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
  4. Yakki Kadaf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nililala na mke wa mtu aliyenizidi miaka 30

    Habari wakuu, miezi mitatu iliyopita nilikuwa ni mwalimu wa kujitolea shule moja ya serikali. Mama yule alikuwa kapata nafasi shule. Basi mama yule alifika ili aonane na makamu mkuu wa shule ili ampe prem number kwa ajili ya uhamisho. Bahati mbaya makamu mkuu wa shule hakuwepo ikabidi aniachie...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kama una ugonjwa unaokupa tabu maishani na unarithishwa fikiria kuhusu kuasili

    Nimetoka kucheki documentary ya magonjwa yanayorithika nimeona nije kuweka maoni, Magonjwa ya kuruthi: kifafa cha kurithi. sickle cell. CCHS ; tunavyopumua huwa hatufikirii kupumua, wenye ygonjwa huu inabidi wafikirie ili wapumue, wanapolala inabidi watumie mashine kuwasaidia. Kansa ya mifupa...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu aliyekwama Maisha analaani Ngono je serikali kwanini isiweke utaratibu wa kuwaokoa vijana?

    Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono . Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani. Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono . Hawa single mothers jinsi wanavyogawa...
  7. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Kama ukishamwambia mtu kitu hakitokei tatizo lako ni hili

    Washauri wengi ikiwemo wazazi wamekuwa wakitushauri kuwa watu wasiri. Nikimaanisha tusipende kumwambia mtu mipango yetu. Sa nyingine ni pale tu ukishamwambia mtu mipango yako ndio inavurugika. Hii inatokana na nini ? na nini kifanyike? Inatokana na kumwamini mtu pia kutokujua kuwa anaumia sana...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana tufungue Maabara (health) au ubia

    Hello waungwana, Nipo mkoani Arusha. Nina mtaji wa vifaa vya Lab ila gharama ya kulipa pango na pia kurekebisha chumba pesa imeniishia. Sasa basi kama na wewe una ndoto hiyo naomba tushirikiane. Site ni nzuri Sana iko palipochangamka pia sehemu yenye population kila wiki mnada rahisi mno...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Umewahi shuhudia au kusikia mtu kafa kwa kuangukiwa na nazi?

    Kwa wenyeji wa pwani, umewahi kusikia mtu kafa kwa kuangukiwa na nazi?
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwili wa mtu waokotwa kwenye sandarusi

    Mwili wa kijana Ezekiel Boniphace Mangu (30) mkazi wa Kata ya Somanda Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, umekutwa umewekwa kwenye Sandarusi na kufunikwa na shuka kichakani. Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kijana huyo aliyekuwa akifanya kazi ya ulinzi alipotea usiku wa Desemba...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu yeyote ambaye amesoma chuo tofauti na UDOM amewahi kuitwa interview za UDOM?

    Habari zenu maboss zangu. Naomba kuuliza jamani. Hivi kuna mtu yeyote ambaye amesoma chuo tofauti na UDOM amewahi kuitwa interview za UDOM?
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoniuma kwa Feitoto ni sawa na mpenzi wako akubwage aende kwa mtu anayekuzidi kila kitu

    Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile. Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre season kweli. Mmemtembeza kwa miguu wee. Muheshimuni Sasa Yuko mamtoni anapata kila anachostalili...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga kupeleka mwakilishi kwenye msiba wa Pele ni suala la kupongezwa na kila mtu

    Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022. Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya maridhiano duniani kote ni siri. Kuna mtu anafahamu kinachoongelewa kwenye maridhiano ya Eritrea na Ethiopia?

    Wale mnaopiga kelele kulalamikia usiri wa mazungumzo ya maridhiano kati ya Mbowe na Kinana tuambieni. Ni wapi ulishawahi kuona umma ukitaarifiwa kinachozungumzwa kwenye meza ya maridhiano? Taarifa hutolewa mwishoni kile walichoafikiana mezani. Uhuru anaongoza mazungumzo kati ya Eritrea na...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ikiwa binadamu hana uwezo wa kutambua kinachoenda kumtokea dakika zijazo kwanini binadamu huyu huyu amekuwa mtu wa chuki sana?

    Mfano Leo tupo hai twachukiana Sana. Usoni twacheka hila ni rohoni vita vikali Sana. Nasema hivi kwanini mwaka 2013 mtoto wa Mama Mdogo ambaye alitabiriwa kuja kuwa Mwangaza wa Maisha na aliyeonekana Kama Nyota ya Familiya, na aliyekuwa anaweka bidii kwa masomo na kuipambania future yake...
  17. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Naomba mtu anifanye kuwa mchawi

    Cambodia! Nahitaji mtu anifundishe (anitrain) uchawi Kama ni hela nitamlipa baada ya zoezi. Bajeti yangu ni laki5. Ninataka mtu anitrain kuamka usiku na kuacha mwili kitandani na kuanza kutembea katika ulimwengu wa roho, kuingia ndani ya nyumba watu wamelala na wasikuone, Kuwapa usingizi wa...
  18. marehem x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kosa nililolijutia kuwa na mke wa mtu mwaka 2023. Huyu mwanamke anaviranga

    Kama mjuavyo bongo Ina raia wengi wa Tanzania wenye ndg zao mataifa ya arabuni. Basi bana jamaa alikubali Kiulainii asijue amedanganywa bin kudanga. Mkewe anakubali safari Dubai na marafiki kubiashara. Huyu mwanamke Hana hata genge la nyanya. Ameomba aende majuu na mashoga zake ajifunz biashara...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Unamshauri Nini Mtu ambaye Hana Habari na wazazi wake ?

    Binafsi tangu nianze kuwa karibu na wazazi na kuwa karibu na Mungu nimeona Mabadiliko Katika Maisha yangu. Je Endapo ukifanya kinyume chake je ntarudi Kwenye msoto na kuanza kuishi Maisha ya bahati nasibu ? Kufikia hatua ya kushindwa kulipa Bima Kama Mwanzo na je ntarudi kupanga uswahilini na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania mtu ana Kodi mkononi anahangaika kuilipa

    Nimesoma quote ya mtu mmoja hapa jf, imenifurahisha sana. Ni kuhusu sakata la Diamond na TRA. Ni ukweli usiopingika mfumo wa ulipaji Kodi Tanzania bado ni changamoto. Hii efilling system ina watesa sana watu. Nashauri TRA wakae chini walitafakari hili, na kuja na mfumo rahisi na wezeshi kwa...
Back
Top Bottom