Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.

Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.

Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.

Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.

Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints. Hayanihusu.

Video hii hapa nguzo imeanguka
Kwenye mould ya lazima uweke expansion paper. Usitumie akili fuata kanuni

Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.

Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.

Video hii hapa nguzo imeanguka
View attachment 2693787
Kwahiyo za miti hazidondoki?
 
KUTENGENEZA NGUZO ZA ZEGE PASIPO KUWEKA VYUMA VYA VIWANGO STAHILI NI WIZI NA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI,TANESCO ANA HAKI YA KUISHTAKI KAMPUNI HUSIKA JUU YA UHUNI NA KUHATARISHA MAISHA YA WATU KWA KUTOTENGENEZA NGUZO ZENYE UBORA STAHILI.

(Je panya ataweza kumshtaki paka?)
 
KUTENGENEZA NGUZO ZA ZEGE PASIPO KUWEKA VYUMA VYA VIWANGO STAHILI NI WIZI NA JINAI,TANESCO ANA HAKI YA KUISHTAKI KAMPUNI HUSIKA JUU YA UHUNI NA KUHATARISHA MAISHA YA WATU KWA KUTOTENGENEZA NGUZO ZENYE UBORA STAHILI.
Nani amshtaki nani wakati deal wamepiga wote?Wanakuangalia tu na kucheeeeekaaaa!Meno ya kulokodaiya!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom