Habari wakuu?
Mimi nimejifunza ufundi magari na kazi nishaweza changamoto yangu ni kuwa kwa sasa Sina sehemu ya kufanyia kazi mana kunasehemu nilikuwa nimejishikiza ila kwa sasa hii sehemu ishafungwa kutokana na fundi mkuu kushindwa kulipa Kodi kwahio naomba Kama kuna fundi mechanics anahitaji...
Rais wa China Xi Jinping amepitishwa rasmi kuiongoza nchi hiyo kubwa inayoendelea kwa awamu ya tatu mfululizo. Tangu alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka 2013, Xi Jinping amesisitiza mara kwa mara kutanguliza wananchi mbele katika kila eneo.
Katika hotuba yake aliyoitoa ijumaa baada ya...
Na uzuri ni kwamba sayansi imekuwa kwa sasa, tunaweza kupima dna kujua kama watoto ni wetu lakini pia tunaweza kupima dna kutambua kama tumebeba genes zenye magonjwa ya kurithi kama vile ualbino, uziwi, ububu, ulemavu wa akili, n.k.
Mangonjwa yanayoweza kurithika hutokea pale ambapo watu wawili...
Kuna umri ukiishafikia hutakiwi kuongea ovyo umri wa kuanzia miaka 55 na kuendelea unatakiwa usiongee vitu kwa kutafuta sifa kwenye jamii au watu waliokuzunguka jitahidi sana kuchunga kauli zako unazozitoa mwisho wa siku utaonekana ni mzee wa hovyo ni heri kijana wa hovyo kuliko mzee wa hovyo
Habari wakuu.
Nimekuja tena kuwatisha. Ipo hivi, watu wengi wanafikiri pombe huchochea utendaji wa akili, ukweli ni kuwa pombe hupunguza utendaji wa akili. kama ilivyo heroin. Ndiyo sababu mtu aliyekunywa pombe hawezi kufikiri wala kutenda mambo sawasawa. Inafanya hivyo kwa kuzuia sehemu...
Hili ni kutoka moyoni kabisa!
Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU...
Habari wakuu
Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia...
Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu...
Hii Hali imenipata mara kadhaa. Hizi daladala za bongo mnajaa wanaume na wanawake na wamama walivyo na maeneo laini yaani unahisi kabisa kitu laini kinakugusa.
Hii hali siipendi basi tu. Mola akinijaalia kauwezo nipate kausafiri niachane hii adha.
Wanamama Muda mwingine hudhan tunapenda...
Ili kuepuka vifo vitokanavyo na ndege kupata ajali chini kwanini makampuni ya ndege yasinunue parashuti kwa kila abiria yaani ukikaa kwenye seat unalivaa ili ndege ikipoteza control basi mnaruhusiwa kuruka kutoka nje mnapaa mnashuka chini bila kujipigiza?
Mkiniita chawa ni poa tu maana anayenipandisha daraja Kwa Kazi ni yeye. Kuna mtu atasema kupanda daraja ni haki yako lakini atajisahau kuwa ndani ya haki hii Kuna bossdume alitubania balaa.
Ni hivi, siku ya wanawake tar 8/3. Jana hiyo hotuba ya mama kama uliisikiliza vyema anataka amani nchi...
Habari JF,
Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA .
Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu Lissu.
Hivi Mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi...
Karibu sana Mama na Asante kwa Kunifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums, ila nikuahidi tu kuwa japo Unanifolo, Unanipenda na Kunifuatilia sana, ila sitoacha Kukukosoa ukiharibu na Kutofurahia ukipatia kwani Mimi furaha yangu ni Wewe Kujichanganya Kiutendaji ili nipate cha Kukusiliba hivyo Nivumilie...
Video hizi zinaonesha tukio la binti anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 akiwa ndani ya jumba la kifahari linalomilikiwa na huyo mama mwenye baibui nyeupe, inasemekana binti alipotea kimazingara na huyo mama anasadikika kuwa ni mwanga.
Binti amekutwa hawezi kuongea kwakuwa amekutwa amekatwa...
C&P
The Curse Of Intelligence Is Isolation.
When You Are Intelligent There's Always A High Chance That You Are Alone.
Fools Attract Crowds.
Stupid People Love Stupid Ideas That Glorify Theirs Ignorance.
That's Why Most Intelligent People Are Controversial and Hated
(NOTE: nimeipanga hivyo...
Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara.
Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo...
Habarii wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 28, ni mhitimu wa stashahada ya Uhandisi Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil Engineering) mwaka 2020 na kufanikiwa kupata upper second class kutoka chuo Cha ufundi Arusha (ATC).
Nimejaribu kutafuta kazi sehemu mbalimbalii ila bado sijafanikiwa kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.