mtu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hivi, Kuna mtu mwenye akili timamu alienda uwanjani akiamini Simba itashinda dhidi ya Casablanca?

    Nimeona mashabiki wengi wa Simba eti wanaongea kwa uchungu sana na wanamlaumu kocha kisa kufungwa na Raja! Hivi kweli tukiweka bangi pembeni Kweli Mtu unashangaa simba kufungwa na Raja? Tukubali tukatae wale watu hakuna timuvya kuwafunga hapa bongo na jana mpira walioucheza walicheza kwa...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ndoa humuongezea mtu heshima na kuaminika katika jamii yeyote

    Muasisi wa ndoa kwa binadamu ni Mungu. Alipowaunganisha Adam na Hawa katiba bustani ya edeni. Familia ni msingi wa Taifa lolote kwani kukiwa na familia imara ni rahisi kuwa na jamii imara,dini imara na taifa imara. Familia ni taasisi nyeti na muhimu mno. Kwakua taasisi hii nyeti ni muhimu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kutoka kwa mtu wa mamlaka za elimu

    Eti inaruhusiwa ukiwa na mtoto wa say form six sheria inaruhusu mtoto kusomea nyumbani kuja kufanya mtihai tu? Kuna mzazi anasema kwa vile shuleni hawafundishi, basi ameamua amtoe mtoto amtafutie tuition ataenda kufanya mtihani. Hii inawezekana? sheria inaruhusu?
  5. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Alikuwa mtu au nilikutana na jini au ubongo wangu ndo ulikuwa una-hallucinate: Mwanamke mzuri kapendeza, na hanijui aliniomba 2000 ili akale

    Habarini mabibi na mabwana... Nimekaa na hiki kisa natafakari mara mia mia lkn sipati jibu, naishia kupata mixed feelings tu. Ilikua hivi, Jumamosi iliopota nilitoka zangu kwenda mazoezini mida ya saa kumi na mbili. Niko zangu nakimbia kwenye barabara ya rami, mida hio ilikua bado tupu kiasi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Utata: Mtuhumiwa adaiwa kujinyonga kwa Nguo ya Ndani akiwa Kituo cha Polisi

    Nimeona heading Kwenye gazeti la Nipashe kwamba kuna kifo cha kutatanisha cha Mfugaji aliyefia Mahabusu Polisi wamedai amejinyonga kwa kutumia Chupi yake Ngoja nilisake gazeti nilete habari yote! --- MFUGAJI aliyetambulika kwa jina la Samweli Bulunde, anadaiwa kufariki dunia baada ya...
  7. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kutumiwa pesa na mtu akiwa nje kwa njia ya M-Pesa

    Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu. Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa. Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya Watanzania kuwa maziwa ni tiba ya mtu aliyemeza sumu?

    Huu uongo umekuwepo miaka mingi sana. Ukweli ni kuwa maziwa hayana nguvu yoyote ya kutibu sumu. Mtu anayekunywa maji na anayekunywa maziwa baada ya kunywa sumu wote wapo sawa. Unakuta mtu anafanya kazi kiwandani, mgodini au sehemu yenye vumbi, jioni anapiga maziwa kwamba anazuia sumu. Na wenye...
  9. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Obsessive Compulsive Disorder: Ugonjwa wa Akili unaomfanya mtu, kujihami, kuzingatia au kuhakiki mambo/vitu mara kwa mara

    Obsessive Compulsive Disorder (OCD) ni Ugonjwa unaomfanya Mtu kuwa na Hofu au Wasiwasi kila mara pamoja na kupatwa na Huzuni kwa muda mrefu. Mtu mwenye tatizo hili huwa na tabia za kurudiarudia vitu. Dalili za Mtu mwenye OCD ni kuwa na mawazo ya kuogopa, kuhofia au kuhisi una ugonjwa fulani...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ebu kila mtu aweke hapa ujumbe wa valentine aliotumiwa either na mpenzi,rafiki au ndugu yake yeyote.

    Naanza na mimi
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

    Wakuu haya ndiyo matendo makuu sasa, fanya mambo kisha unapotea. Mwanaume mmoja ametembelea ubalozi wa Uturuki nchini Marekani na kutoa msaada wa Dola za Kimarekani milioni 30 (zaidi ya bilion 60 za Kitanzani). Msaada huo ni kwa ajili ya huduma za kiutu kwa wahanga wa Tetemeko la Ardhi. Mtu...
  12. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kufanya mtihani wa ACSEE kama Private Candidate kwa mtu mwenye diploma au degree?

    Habari wana JF, Karibuni nataraji kujiunga na diploma ya computer science,nimelazimika kusoma diploma kutokana na majukumu yangu kwa sasa japokuwa form four nilifaulu vizuri tu namshukuru mola. Swali langu ni kuwa, je naweza kufanya mtihani wa ACSEE kwa baadae kama private candidate sawa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Panya road katika matukio yao ni lazima wajeruhi kila mtu?

    Kwanza kabisa lazima tukubaliane kimsingi kuwa panya road ni school drop out hasa shule ya msingi na secondary, lakini wengi pia ni wale waliolelewa Kwa style ya single mothers hii nimeongea sio kukejeli lakini ni kutokana na mahojiano waliyofanya wenzao kituo Cha polisi. Jana Tarehe 11.02.23...
  14. blogger

    JamiiForums Tanzania Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

    Gari ni muhimu... Ila haliingizi chochote. Zaidi ya kukumaliza tu. Bajaji ikipiga mishe vizuri kwa wiki naweza kuwa naweka kibindoni 150K na dereva anajilipa vizuri. Ushauri wenu.. MONEY IN A BANK.
  15. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana PhD yake katika maisha yake Sasa Kama ndio hivi. Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi tangu 1970

    Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt. Kyambamasimbi Nina...
  16. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu Maandiko yake ni mafupi

    JamiiForums habarini. Niandike kwa kifupi Sana. Katika somasoma yangu. Nimeona na kutafakari maandiko mbalimbali watu tunayoyaandika, MTU unayeandika maneno meeengi, Kwa kawaida unarudiarudia yaleyale. Ukiwa unauwezo wa kuandika sentence chache ambazo hazimchukui msomaji dakika moja na nusu...
  17. Phobia

    JamiiForums Tanzania Kwenye mashirika kuna uzandiki,unafiki na majungu ya kufa mtu

    Kwenye mashirika haya wakuu kuna unafiki,majungu na uzandiki nimechoka aisee na watu wanaongoza kwenye majungu ni wale wenzetu wa ukerewe yaani sio poa kabisa sema tu mimi ni blessed man ukinipiga majungu ndiyo kwanza nazidi kusifiwa na kila mtu yaani imefikia hatua naomba watu wanipige majungu...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa lipa shika tuondoke ndio mnataka tuoe sio?

    Wanawake mchawi wenu Ni wanawake wenzenu Mnalalamika hamuolewi wakati wenzenu wanagawa Bei sawa na bure Kiufupi Maisha yamekuwa Magumu Sana kwa kila Mtu so watu wanatafta unafuu ulipo Mnabidi jinsi mlivyo anzisha kampeni yenu ya feminist ndo mpambane kuwazuia wanawake wenzenu wanaogawa uchi...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Waitara Bungeni zinafanana na mtu anayeaga Bunge, ila anataka kuacha legacy tu

    Hotuba zake zinafanana na mtu mwenye msongo wa mawazo, ni kama anaona Kuna jitu linamfata, kama vile linamkimbiza, anasikia linapiga hatua nyuma yake, na akiangalia kushoto kulia, hana msaada aliozoea kuipata miaka michache iliyopita. Hana koti la uwaziri, hana mkono wa chuma ambao ulikuwa...
Back
Top Bottom