SINGIDA: Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu shambani

Boran Jakutay

Senior Member
Apr 8, 2023
110
255
MKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na waandishi wa Habari ambapo amesema, tukio hilo limetokea Julai 9, 2023.

Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi linamsaka Simon Mwangi (58) mkazi wa Ghata wilayani Singida anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo.

CHANZO: NIPASHE
 
Hii ni pure case ya kuua bila kukusudia. Ila kwa waendesha mashtaka wetu ninavyowajua, watamfungulia murder case.
Kwanza inabidi ithibitike kwamba ni crime of passion, halafu ithibitike kwamba ameua bila kukusudia.

Kuna watu wnaweza kutumia huo mgongo "kushughulikia" issue za wabaya wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom