Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Nadhani hii ndio ikawa sababu kubwa ya kwanini watu wengi wanakua wagumu kuamini kuwa kila ndoto unayoipata inakuwa na maana na umuhimu wake.

Lengo kuu la ujumbe wa ndoto ni
i. Kupewa maelekezo nini cha kufanya (mawazo)
ii. Maonyo (warning)
iii. Kuoneshwa mambo ya mbele yatakayokuja kutokea.
iv. Jambo gani limetokea kwako ambalo hulioni kwa macho ya nyama.

Sasa ukiwa na matukio Mengi maovu lazima yanakuwa yanajirudia ndotoni. Ni mungu anakufunulia uwovu wako, ulivyo mwilini ndivyo ulivyo rohoni.

Mungu anaweza kukutisha katika ndoto, Anakuonesha ni wapi ulikua mjinga, wapi unakosea na nini unatakiwa kuacha. (Mahusiano yako binafsi, wewe na Mungu, mtu mwingine hawezi kusiki wala kuona)

Tafsiri ya Ndoto ukifanya mapenzi na mtu unae mjua, awe ndugu au rafiki

Niende taratibu kwa kutoa picha yake kwa upana, wengi mpate kuona fumbo lilivyofumbwa. Mungu anazungumza kwa picha au video za Mafumbo.

Kama ulisoma Geography, sekondari kwenye ile topic ya Photographer utaona jinsi gani Picha Moja tu ya mtu akichuma zao la chai, inaweza kuandika essay ya page zaidi ya moja.

Twende kazi:
Tunaelewa kwa tamaduni zetu haitakiwi kabisa kufanya mapenz na ndugu yako au rafik yako.
(Sex ni kwa wapenzi, ukifanya mapenz na rafik yako huyo kuanzia hapo sio rafik yako tena ni mpenz wako.)

Tunaelewa sex ni tendo la wanandoa, mke na mume ndio wanashiriki mapenzi
Kawaida kukiwa na kutokuelewana (conflict) kati ya Mume na mke lazima Tendo la ndoa linasitishwa, kama sio kusitishwa basi hamtaweza kulifanya kwa hisia kama mwanzo. sasa migogoro ni mingi ya kimapenz hadi watu wanatengana kabisa.

Kama hakuna mkwaluzano katika mahusiano mtafanya ngono bila shida kabisa mkichukizana tu moja kwa moja na nafasi ya kufanya mapenzi haita kuwepo.

Ndugu/rafik mkiwa hamjachukizana hamtakiwi kufanya mapenzi.

Ukichukizana na ndugu yako basi utafanya nae mapenzi.

Umeelewa Fumbo lilipo?

Kwahiyo Tafsiri ya Ndoto ya kufanya mapenzi na ndugu au rafik ni ujumbe wa jambo linatalokuja kutokea siku za mbele katika maisha.

Huyo ndugu yako utakuja kupitia katika wakatia ambao atakua na hasira na ugomvi na wewe, huoneshwi mtagombana kwenye jambo gani lakini unapewa taarifa kuwa kuna kutokuelewana kunakuja mbele.

Sasa ikiwa katika ndoto uliona huyo rafik au ndugu yeye ndie alionesha kukutamanisha kingono, basi yeye ndie atakua chanzo au mkosaji katika ugomvi wenu.

Lakini kama wewe ndio utaota unamtaka kimapenzi ndugu yako, jua wewe ndio utakua chanzo cha ugomvi.
Mungu anakuonesha kuwa wewe ndie mwenye mapungufu hukutakiwa kuweka chuki kwa jambo hilo.

Ikiwa unafanya mapenzi na mtu usie mjua basi tafsiri ni nyingine, inabadilika kabisa.

Utagundua ndio maana mara nyingi usie mpenda ndiye unaota sasa unafanyanae mapenzi,

ex wako mmeachana na umeisha amua kuendelea na maisha yako lakini cha ajabu unakuja kuota mkisex.

Unaota ukifanya mapenzi na mjomba wako, unafikiri utapata pumzi hata moja ya kumsimulia mtu ??😃😃

Note: Hii haiwahusu watu ambao hata jini likijisikia kuja kulala na wewe linaweza au wale ambao mnamajini yenu yanakujaga mfanye mapenzi.
 
Ndoto ni overrated sana
Ndoto ni mawazo tu kama wazo jingine unlike unakuwa umelala tu.
Ndoto ni tafakari kama tafakari nyingine
Ndoto has nothing to do with our life
Ndoto za kunyanduana ni wet dream(Ndoto nyeti) zinazompata mtu yoyote aliebalehe au kuvunja ungo ndimaana ukiamka unakuta ushaharibu
Narudia tena Ndoto ni overrated sanaaaa
 
ukisema hivi Ndugu wakristo watakushangaa, Mafunuo wengi na taarifa nyingi watu walipokea kupitia ndoto.

Ndoto ya Mfalme Nebukadreza zote zilikua na ujumbe, Ndoto za Daniel, Ndoto nyingi sanaa.
Maria na Yusufu waliota ndoto kupewa maelekezo, wafanye nn
Mitume waliota ndoto na kupewa maagizo mfano ndoto ya Petro.
 
Ndoto ni overrated sana
Ndoto ni mawazo tu kama wazo jingine unlike unakuwa umelala tu.
Ndoto ni tafakari kama tafakari nyingine
Ndoto has nothing to do with our life
Ndoto za kunyanduana ni wet dream(Ndoto nyeti) zinazompata mtu yoyote aliebalehe au kuvunja ungo ndimaana ukiamka unakuta ushaharibu
Narudia tena Ndoto ni overrated sanaaaa
Ndoto ni general na Sio only overrated thus unaweza ukaota mji ambao hukuwahi hata kufika
 
Nimekula demu mmoja amazing kwenye ndoto, nilipoamka nikakasirika nikalala tena ili nipige cha pili, aisee, nikaota nakimbizwa na mamba mtoni.
Ujumbe upo kwenye mazingira ya kukutana na huyo mwanamke, mlikutana vipi.
 
Naomba niseme kuwa ndoto zina maana sana,ila sio maana ya kukariri kariri,mfano watu wamezoea kusema ukiota unakula nyama basi jua ni wachawi,sio kweli,ili mtu akutafasirie ndoto yako cha kwanza ajue kazi yako au shughuli yako ya kiuchumi ni ipi,kipato chako ni kipi,harakati zako juu ya maisha zikoje nk. Sasa weewe unaweza ukaota unakula nyama mtu akakwambia hao ni wachawi kumbe muota ndoto ni mpishi kwenye mahotel,kwahiyo kuota ndoto kama hiyo ni kawaida kwake.

Narudia ndoto ukizifuta zina maana,ninaushuhuda kwangu mimi juu ya ndoto nyingi ambazo huwa naota moja wapo ni hii,nililala nikaota mke wangu anachart na mwanamme kwa njia ya simu ,mawasiliano hayo yalikuwa ya kimapenzi na namba ya simu nikaoneshwa kuwa inaishia na 78 nilipoamka asubuhi nilimwambia mke wangu akakataa kuwa hana mawasiliano,baada ya siku tatu nikaifuma namba ile ile iliyoishia na 78 ,mke wangu hakuwa na la kusema.

Ndoto nyingi tu mimi huota na baada ya muda huwa kweli,hivyo tusidharau wala kupuuza ndoto
 
ni kweli kuna ndoto zingine zinakuja kwa fumbo, lakini zingine zinakua hazina mafumbo.

Roho inaona kila sehemu kwahiyo jicho lako la ndani likiwa safi unaweza kuona vitu ambavyo wengine hawaoni.

Hata kama sio ndotoni, ni live naongea na mtu, nina uwezo wa kujua huyu mtu maneno anayoongea yanatoka moyoni au ni maneno ya uwongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom