Jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania kaeleza kwamba kuna mtu amekopa benki 5 au 6 tofauti za Tanzania na hajulikani alipo, yaani amekimbia na kutoka nchini.
Sasa huu ni mtihani kwa TISS, vyombo vya fedha, uhamiaji na wizara ya mambo ya...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria...
Habari zenu wanajukwaa,
Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.
Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana...
Habari wadau, ebana niende kwenye mada,
Niliingia mahusiano na dada mmoja nikijua ana mtu wake na mahusiano yangu na yeye yalitokea tu bila kumtaka, yaani katika kuzoeana basi siku moja nikajikuta nimekula tunda.
Baada ya hapo nikasema WTF siwezi kuwa nae huyu nikataka kukausha lakini...
Hawa wanawake wa kihaya mimi wiwaelewi,yaana unamkuta mdada anang'ang'ana umuoe ,na hapo hata miezi 2 haijaisha tangu mmejuana,utadhani kuoana ni kama mchongo.
Utamsikia"Mimi nataka kuolewa,natafuta mume anioe tuishi pamoja tu basi,wewe kama vipi nichukue tuishi wote",,bladifakeni kabisa...
Naomba msaada kwa mtu ambaye ana article yoyote inahusu investigative story anasadie
Nataka kutanabahisha jambo ambalo limekuwa gumu kwangu kulitatua
Pia nataka kuongeza ujuzi kwenye kuandika investigative story na kufahamu kwa kina zaidi juu ya structure na format ambayo huwa inatumika...
"Kuuliza si ujinga"
Elimu ni kubwa sana tunatofautiana katika uelewa wa kila jambo mfano mimi nilipokuwa form four wakati tunasoma kitabu "Pass like shadow" nilikuwa najua kuwa main thesis ya kitabu ni ukimwi ambaopo kuna mdada alikutautana na jamaa Mwenye HIV (Nimemsahau) Ila hakuathirika ila...
Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
Habari wadau
Nina imani humu kuna wataalamu wa sheria za ardhi. Na pia wapo watu wenye uzoefu na mgogoro wa ardhi kama huu wa baba yangu mdogo.
Mwaka 1988 baba yangu mdogo alinunua kiwanja maeneo ya yombo vituka kutoka manispaa ya temeke.
Alilipia malipo yote yaliyohitajika. Na kupewa...
Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia.
Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na...
Just for your information
Afrika ina maelfu ya timu zenye viwango tofauti tofauti. Kuna zenye viwango duni, viwango vya kati na vigogo. Nikikazia neno Vigogo namaanisha timu mfano wa Simba Sc kutoka Tanzania, East Afrika.
Kuna vigogo kadhaa tuseme 10 mpaka 15. CAF wamekaa wakaumiza vichwa...
Habari wadau, hebu waza hii kwanza umezaliwa kwenye familia ya nje na hio familia ya nje ina familia za nje mmmmh apo siongei sn jiongeze mwenyewe
Halafu baba na mama yako na wao pia watoto wa nje ambazo zina familia za nje yaan ni maelezo tu hawa wameshare baba hawa wameshare mama...
Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.
Wizi
Utapeli
Wake za watu
Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa.
Me siwezi ata kuwa karibu na mke wa mtu wake wa marafiki zangu Sina ata ukaribu nao.
Kuna wanaume wengine ni vichaa kabisa,Wana...
Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho.
Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa...
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, mtu mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi maeneo ya Kimara.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutoka kwa tukio hilo katika mvua iliyonyesha juzi Machi 22, 2023, taarifa...
Huko barabarani siku hizi madereva wa magari ya serikali wamekuwa wababe kupitiliza!
Nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu!
Usalama barabarani unaongozwa na sheria za usalama barabarani.
Lakini bahati mbaya sana madereva wa magari ya serikali na polisi, Trafiki ,wanaUsalama, wanajeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.