Umeelewaje Katuni hii ya King Kinya aliyomchora mtu anayefanana na Tundu Lissu

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Gazeti la Mwananchi limechapisha katuni hii iliyochorwa na mchoraji wake King Kinya ikimuonyesha Mtu anayefanana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiwa na taswira kama ya kulalama huku ameshika kitu kama matope au kinyesi hivi na mengine yakiwa usoni mwake.

Vipi wewe umeelewaje katuni hii?

IMG_5967.jpg
 
Kuna Wasanii na Kuna wachoraji

Huyu wa King Kimya, Ni mchoraji, sio msanii, Katuni zake zote Huwa ni Laini laini ,nyepesiii ,hazina ujumbe wa maana , ni Katuni ambazo hata mtoto wa darasa la Tatu B anaweza chora .
Umeelewa nini?
 
View attachment 2695098
Rais ameongea matope, presidential rubbish
 
Nilichoelewa;
Tundu Lissu kashika matope. Mkono mmoja ukiwa na kiasi kikubwa sana cha matope, huku kingine matope yakiwa machache. Mdomo wake ukionekana mtu anayezungumza.

Tafsiri yake;
Swala la Bandari linatuhusu wote. Ndiyo tafsiri ya yeye kuchafuka.

Upande mmoja umependelewa zaidi kuliko upande mwingine. Katika swala husika, DP anaonekana kupata manufaa zaidi kuliko Tanganyika.

Mdomo wake, unatoa sauti kuieleza jamii mkataba huo hauna mlingano.
 
Gazeti la Mwananchi limechapisha katuni hii iliyochorwa na mchoraji wake King Kinya ikimuonyesha Mtu anayefanana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiwa na taswira kama ya kulalama huku ameshika kitu kama matope au kinyesi hivi na mengine yakiwa usoni mwake.

Vipi wewe umeelewaje katuni hii?

View attachment 2695098
Jamaa anafukua tope
Kinyesi kabisa iko
 
Kuna Wasanii na Kuna wachoraji

Huyu wa King Kimya, Ni mchoraji, sio msanii, Katuni zake zote Huwa ni Laini laini ,nyepesiii ,hazina ujumbe wa maana , ni Katuni ambazo hata mtoto wa darasa la Tatu B anaweza chora .
Huo usio na maana ni upi ndugu Carlos The Jackal?

Hayo kwenye mikono ya Mwanasiasa na mwanaharakati nguli huyu ni kitu gani?

Bila shaka ni matope (uchafu) toka Kwa Rais ambao umeichafua nchi na taifa la Tanganyika na Tundu Lissu hapa ni kama kielelezo cha nchi kuchafuliwa na matope ya huyu mama mgeni toka Zanzibar...

Wewe unasemaje? Unaelewaje?
 
Back
Top Bottom