msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KIGHERA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiutumishi (mambo ya Lawson)

    Habari Wadau, niende moja kwa moja kwenye ishu yangu, niliajiriwa kwenye taasisi moja ya serikali miaka ya nyuma then nikapata kazi taasisi nyingine nayo ni ya serikali. Nafasi niliyopata ilikuwa ni nzuri kidogo nikilinganisha na ile ya awali hivyo ikanilazimu kuacha kazi taasisi ile ya awali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau ---
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau simu inagoma kupakuwa App playstore

    Wakuu habari ya leo? Simu yangu inanigomea kupakua app toka play store. Kama kuna mtu mwenye kujua mbadala wa play store and utatuzi kuweza kuifanya play store kuendelea kufanya kazi naomba msaada tafadhali. Asante
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuikuza account yangu ya forex

    Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi. Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60, nimejaribu kukomaa na...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je haya ni madini?

    Habarini wana JF. Poleni kwa majukumu. Je, kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia kuniambia kama haya ni madini au la? Naomba msaada wenu wakuu
  6. makenze

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto akijisaidia utumbo unatoka nje

    Mtoto wa jirani yangu anaugua ugonjwa akijisaidia utumbo unatoka nje. Ana miaka mitatu. Ila kikubwa jirani hana uwezo wa matibabu sababu hata kujua mtoto tatizo lake linahitaj upasuaji mimi ndo nimemwambia baada ya kuuliza huku na huku. Ameshaenda hospitali lakini anadai bado dogo anatoa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuzuia wafanyakazi kuiba vifaa vya ofisi?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna kaofisi nategemea kuanzisha hivi karibuni ambapo nategemea kuajiri vijana nitakaoweza kuwalipa cash kwa mwezi, sasa ninapokwama ni kwamba hiyo ofisi itakuwa na mashine za kazi ambazo hao vijana watakuwa wanatumia kuingia nazo mtaani kufanya mauzo na kisha jioni...
  8. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tiba ya vipele kwa mtoto wangu

    Samahani naomba mnisaidie ushauri kuhusu huyu mwanangu ana 2 years amepatwa na vipele usoni, shingoni masikioni nk. Vingine vikikauka vinatoka vipya tena vingine. Nilimpeleka hospital huku wakampa Ethromycin na Pricostant Cream ila bado hali inaendelea na dawa zimeisha. Vipele vipo vinakuwa...
  9. No Escape

    JamiiForums Tanzania Msaada: Token ya LUKU imefutika!

    Wana JF wenzangu leo naomba msaada nipo serious jamani mliopo macho mida hii, nimenunua umeme kwenye simu hivi ninavyoongea wapangaji wenzangu nimewaongopea mtandao unasumbua ila kiukweli ile Token nimeifuta bahati mbaya!! Please please please JF
  10. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Umofia kwenu wakuu, Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao...
  11. mabuladaud

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie, modem yangu nikiiunganisha na mobile hotspot inazima

    HAbari zenu wakuu? Naomba mnisaidie, modem yangu nikiconnect inazima mobile hotspot. Je, niwezeje kushare internet kwenye computer nyingine. Pia sms zikiingia zingine hazisomeki, yaani zinakuja alama za maneno tu. Nmejaribu ku unistall tatzo bado lipo.
  12. Kendrick Rama

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la mtoto wa jicho

    Habari zenu wakuu, Naomba mwenye uelewa au mtaalamu wa mambo ya magonjwa ya macho anisaidie hili. Hapo juzi kati niligundua kuna kauvimbe kadogo ndani ya macho yangu ambacho hakana maumivu yoyote, ila baada ya kuchunguza kwa umakini na kuulizia baadhi ya watu walinambia kuwa huyo ni mtoto wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anatatizo la kupaliwa ninapomnyonyesha naomba ushauri

    Asaalam Wadau natumaini mmeamka salama. Naomba msaada ufuatao Mara nyingi Mke wangu anapomnyonyesha Mtoto anakuwa akipaliwa na hapo wala hakamuliwi maziwa zaidi ya kushikiliwaa tu titi ila ndo hivyo anajikuta akipaliwa kwa kweli hili jambo linaniumizaga sana. mimi tu nikipaliwa huwa nahangaika...
  14. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anahitaji escort ya polisi wapendwa msaada

    Wakulimaa WA vitunguu aiwahusuu, kaeni mbaliii kabisaa
  15. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Simu yangu aina ya Tecno Pop1 imezima msaada wadau

    Simu yangu aina ya Tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi? Je, inaweza kusolve tatizo?
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anaweza kusitishiwa mkopo kwa mazingira gani akiwa chuo?

    Naomba kujua kwa mwanafunzi mwenye mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ni mambo gani yanaweza kumfanya kusitishiwa mkopo akiwa bado chuoni. Asante.
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Niger: Watu 20 wafariki dunia baada ya kukanyagana wakati wakipokea msaada

    Watu 20 wanmepoteza maisha baada ya kukanyagana wakati wakipokea msaada wa Chakula na Fedha katika Mji wa Diffa huko Niger. Waliofariki ni Wanawake 15 na Watoto 5. Inadaiwa kuwa maelfu ya watu walijitokeza kupokea msaada huo uliokuwa unatolewa na Gavana Babagana Umara Zulum katika Kituo kimoja...
  18. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Wale ambao tupo addicted na kuvaa cape na mizura tukutane hapa tujadili changamoto tunazokutana nazo

    Poleni na majukumu wazee wezangu To be honestly me siwezi tembea bila cape, mzura au prova kwa kifupi sijawai acha kichwa changu wazi Nilianza kuvaa mizura kiutani utani lakini asa hivi nshakua addicted siwezi tembea kichwa wazi yaani ni heri mtu anivue suruali ila sio kofia yaani nimekua...
  19. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

    Wakuu, Kumekuwepo maombi toka kwa wadau wengi wakitaka kujua jinsi ya kuitumia JF mpya. Video mbili zinazoambatanishwa zinaeleza kwa ufupi jinsi ya kuitumia. Video nyingine mbili zitaongezeka katika kuongezea juu ya features mpya zitakazoongezeka JF (hivi karibuni). Kwa wale wanaoitembelea JF...
  20. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Haeleweki msaada wakuu

    Kuna binti nilikuwa na mazoea nae ya kawaida tu hapa kazini napofanyia kazi kama marafiki nikimtumia messages anajibu tu vizuri bila shida, sasa tabu imeanzia hapa nilipomtongoza kwa mara ya kwanza pale nilipomuambia nampenda nimemuelewa alinijibu kwa kuuliza "serious " nikamjibu ndio yeye...
Back
Top Bottom