Msaada wakuu tatizo la vijipu kwenye makalio nateseka

Atwoki

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
618
276
Habar za jion wakuu nmekumbwa na tatzo LA kutoka vijipu kwenye makalio yangu hadi inafikia wakati nikiendesha baiskel au nikikaa kW muda mrefu napata maumivu nifanye nn?
 
Aisee Pole Sana Mkuu
Kama Vipo Sehem ya Haja kubwa definitely itakua Bawasiri na inatibika Vizuri tuu, Kinyume na hivyo hapo itakua Shida ingine hapo
.
.
Nenda hata Pharmacy they will help you
 
Aisee Pole Sana Mkuu
Kama Vipo Sehem ya Haja kubwa definitely itakua Bawasiri na inatibika Vizuri tuu, Kinyume na hivyo hapo itakua Shida ingine hapo
.
.
Nenda hata Pharmacy they will help you
Hapna havipo karibu na haja kubwa ,
 
Back
Top Bottom