Msaada wa haraka tafadhali

Albizo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
225
250
Kuna kazi zimetangazwa na NMB lakini kila nikijaribu kulogin inani katalia pasword siikumbuki. Nikiweka email nikaenda kwa forgot pasword ili wanitumie link ya kujireset inanipa majibu haya:

Notice
SMTP Error: Could not authenticate.

Je, ni system yao inasumbua au? Naomba msaada nijue nini cha kufanya kabla ya dead line.
 

Mr Big

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
478
1,000
Smtp ni protocol,
Gateway ya hao jamaa itakuwa na tatizo kwahiyo usubir uwe unajaribu jaribu.
 

Albizo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
225
250
Hata kama atatumia computer haitafaa..
Ni website yao yawezakuwa wanaifanyia marekebisho au just technical errors kias kwamba protocol yao haiwez ku access kwasasa
Nashukuru mkuu. Hapa natumia computer inakataa. Alafu nilijaribu last week tena ikaniletea hadi link ya kuchange password nikaifatilia but ikanikatalia tena. Ngoja nisubirie kidogo.
 

Mr Big

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
478
1,000
Nashukuru mkuu. Hapa natumia computer inakataa. Alafu nilijaribu last week tena ikaniletea hadi link ya kuchange password nikaifatilia but ikanikatalia tena. Ngoja nisubirie kidogo.
Subir tu mkuu.mungy akutangulie upate
 
Top Bottom