Naomba msaada wa mawazo au tiba

Raja_Makuku

Member
Mar 13, 2020
10
9
Ndugu zangu wana JF nina mambo mengi ila mawili ndio makubwa sana kwangu

1. Sipati usingizi napohitaji kulala
Hivi, ukiwa kitandani unahitaji kulala akili yako inatakiwa kuwa focused katika jambo gani ili uupate usingizi?

Maana nimejaribu mengi bado nipo palepale. Mimi ni dereva na kutokana na hali hiyo nakuwa siwezi endesha gari kuanzia jua linapochomoza na kukua kwake.

Inapofika usiku hata kama sina kazi ya kufanya ndio kunakuwa kama kumekucha
Pamoja na kufanya mazoezi mengi na magumu ya viungo lakini bado.

Nimejaribu mara nyingi kufanya kazi au kuwa macho zaidi ya siku 2 lakini usiku wake tena inakuwa ishu kuupata.

Lakin nikitaka kulala mchana wala sipati shida ya kuutafuta kwa tochi kama usiku.

Labda unaweza sema huwa kuna kitu nafanya huenda kupelekea hayo

Iko hivi,
Kwanza sipatani na kelele ya aina yoyote ile

Nikiwa chumbani au nimelala nikiwa kazini (safarini) hata saa ya mshale ya mkononi huwa naona inapigia kelele. Hivyo saa zote ninazotumia ni digital.

Siwashi music wala kelele ya aina yyte japo kutokana na jambo hili nimejaribu mara nyingi kuweka music kwa ujazo wa sauti tofutitofauti lakn haikusaidia.

2. Kuwaka hasira kama mjamzito wakati mimi ni baba wa fulani.

Naamini hili suala la hasira halihusiani na mwanaume awe na hormone za kike kwa wingi (lakini sijui kiukweli)

Niliambiwa nilivyokuwa mtoto hata mie baadhi nakumbuka kuhusu hizo hasira

Ni kwanza mimi nilikua sio muongeaji sana na endapo kuna yoyote aliyepaza sauti kuliko niliokua naongea mimi wakati wa kujibizana nikiwa na hasira.

Basi alipata kisago nami kupotelea mbali nikijianda na kibano cha mama usiku.

Hata kama nilikuwa na hasira namna ile hii sasa too much better.

Maana napambana na vitu hata visivyosema.

Daah! Maskini laptop yangu sasa hivi ningekuwa naitumia lakini sioni hata sababu ya msingi ilifanya niibamize kwa hasira.

Kimahusiano sina shida huko tunaishi poa sina mawazo kwa hilo.

Please!! Nishauri Kuhusu haya kwangu ni makubwa.

Natumai nitapata possitive advice na sio kejeli.

Ahsante!
 
Una msongo wa mawazo mara nyingine ni stress tu za maisha. Ukitatua tatizo la usingizi hasira zitakwisha
 
Jitahidi kula biringanya nyeusi zitakusaidia kupata usingizi,pia omba likizo Kama umeajiliwa kwani waweza kusababisha ajali,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ndugu yangu kampuni nilioajiriwa mwisho saa 3 usiku kuendesha gari but ni mimi pekee ndio nimepewa ruhusa ya kubadili kukata masaa ya mcha mchana kuyaongeza usiku na
Ilibaki kidogo nipoteze ajira

Kwani kabla ya kupewa ruhusa nilifosi kubadilika na likizo yangu ni mwezi wa sita

Shukran ndugu!
 
Ndugu zangu wana JF nina mambo mengi ila mawili ndio makubwa sana kwangu

1. Sipati usingizi napohitaji kulala
Hivi, ukiwa kitandani unahitaji kulala akili yako inatakiwa kuwa focused katika jambo gani ili uupate usingizi?

Maana nimejaribu mengi bado nipo palepale. Mimi ni dereva na kutokana na hali hiyo nakuwa siwezi endesha gari kuanzia jua linapochomoza na kukua kwake.

Inapofika usiku hata kama sina kazi ya kufanya ndio kunakuwa kama kumekucha
Pamoja na kufanya mazoezi mengi na magumu ya viungo lakini bado.

Nimejaribu mara nyingi kufanya kazi au kuwa macho zaidi ya siku 2 lakini usiku wake tena inakuwa ishu kuupata.

Lakin nikitaka kulala mchana wala sipati shida ya kuutafuta kwa tochi kama usiku.

Labda unaweza sema huwa kuna kitu nafanya huenda kupelekea hayo

Iko hivi,
Kwanza sipatani na kelele ya aina yoyote ile

Nikiwa chumbani au nimelala nikiwa kazini (safarini) hata saa ya mshale ya mkononi huwa naona inapigia kelele. Hivyo saa zote ninazotumia ni digital.

Siwashi music wala kelele ya aina yyte japo kutokana na jambo hili nimejaribu mara nyingi kuweka music kwa ujazo wa sauti tofutitofauti lakn haikusaidia.

2. Kuwaka hasira kama mjamzito wakati mimi ni baba wa fulani.

Naamini hili suala la hasira halihusiani na mwanaume awe na hormone za kike kwa wingi (lakini sijui kiukweli)

Niliambiwa nilivyokuwa mtoto hata mie baadhi nakumbuka kuhusu hizo hasira

Ni kwanza mimi nilikua sio muongeaji sana na endapo kuna yoyote aliyepaza sauti kuliko niliokua naongea mimi wakati wa kujibizana nikiwa na hasira.

Basi alipata kisago nami kupotelea mbali nikijianda na kibano cha mama usiku.

Hata kama nilikuwa na hasira namna ile hii sasa too much better.

Maana napambana na vitu hata visivyosema.

Daah! Maskini laptop yangu sasa hivi ningekuwa naitumia lakini sioni hata sababu ya msingi ilifanya niibamize kwa hasira.

Kimahusiano sina shida huko tunaishi poa sina mawazo kwa hilo.

Please!! Nishauri Kuhusu haya kwangu ni makubwa.

Natumai nitapata possitive advice na sio kejeli.

Ahsante!

.
 
Vidonge vya usingizi vina uraibu. Tumia pale tu utaposhauriwa na daktari. Kinyume chake unaweza kujitafutia tatizo lingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom