Msaada Naomba kujua utaratibu wa kuhamisha kesi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,983
Naomba kujua utaratibu wa kuhamisha kesi toka primary court kwenda district court. Nahitaji before tomorrow. Niko kijijini na sina msaada wa haraka kufika kwa advocate.
 
Andika barua kuiomba mahama kufanya hivyo ukiwa na sababu ya msingi na sababu moja wapo ni kuwa na uwakilishi wa kisheria (Advocate)....hii ni kama mahakama ya mwanzo ina mamlaka ya kusikiliza shauri lako.

Kama mahakama haina mamlaka ya kusikiliza shauri lako, weka pingamizi ambalo litasikilizwa na kuamuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweka wakili siyo sababu ya kuhamisha kesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom