Msaada: Nahitaji mbwa wakali wa kufuga shambani Bagamoyo

Msaada: Nahitaji mbwa wakali wa kufuga shambani Bagamoyo

Paddy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2010
Posts
484
Reaction score
369
Habari za leo wakulima!

Naomba mwenye mbwa wadogo kwa ajili ya ulinzi shambani anipe contacts zake nina uhitaji wa hao mbwa shambani kwangu.

Nashukuru sana
 
Ninauza mbwa Wana miezi miwili nipe 50,000 tu
IMG_20200307_115751.jpeg
IMG_20200307_115644.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kuna aina za mbwa karibia millioni moja, we sema unataka mbwa aina gani uje uchukue
 
Back
Top Bottom