Msaada: Nashindwa kuinstall file japokuwa nina account ya Google

muksinihamisi

Member
May 1, 2020
14
6
Nimecreate account ya Google kwenye simu yangu lakini kila nipotaka kuinstall fail kutoka Google naambiwa kuwa account yangu haija access so sijui nifanyeje
 
Hebu screenshot tuone
Screenshot_2020-05-02-14-28-12.png
 
Unatumia website ama appu ???
Kama watumia website kuinstall jaribu kuingia kutumia app yake .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom