Msaada wa kudownload series (all in one)

Martin Kemosabe

Senior Member
Jan 28, 2020
168
78
Kama yupo ataeweza nisaidia kujua namna ya kudownload series all in one package nitafurahi sana, site nyingi ninazoingia series inanibidi nidownload episode 1 moja jambo ambalo linanichosha.

Naomba mwenye kujua site ambayo naweza download mfano prison break zote ziwe kwenye singo torrent msaada wenu wana jamvi nimekwama ndugu yenu.
 
Inategemea mkuu km seriez bado ya moto yaan tuseme ina Miezi michache tangu itoke ngumu sana kupata full inakuwa ngumu kuzipata zote ila kwa seriez za zamani zipo nyingi tu pitia hapa Torrent Search Engine | 1337x.to au
https://torrentz2.eu/
ila downroad kwanza utorrent playstore
20200508_033425.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom