Msaada: Jinsi ya kuweka picha JF Profile picture (avatar)

Msaada: Jinsi ya kuweka picha JF Profile picture (avatar)

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,927
Husika na kichwa cha habari hapo juu👆 lengo langu ni kupewa msaada jinsi gani! Ntaweza kuweka picha na kwenye wasifu wangu! Na pia jinsi ya kuweka video JF na picha za habari tofauti tofauti! Msaada wenu tafadhali
 
Kwa browser ni ngumu labda uwe upo kwenye data mode na sana sana opera browser au google ila chrome inazingua..

N. B uwe kwenye data mode isiwe freemode
Okey shukrani nimeshapata 💪👍
 
Back
Top Bottom