Msaada Samsung note 8

jogijo

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
260
490
Habari ya asubuhi ndugu,

Nina tatizo na s pen kwa wanaotumia note 8. Yaan simu haidetect kama kuna s pen, uitoe au uirudishe. Na hata kuandika kwa kioo haikubari.

Msaada kwa mwenye idea.
 
Habari ya asubuhi ndugu,

Nina tatizo na s pen kwa wanaotumia note 8. Yaan simu haidetect kama kuna s pen, uitoe au uirudishe. Na hata kuandika kwa kioo haikubari.

Msaada kwa mwenye idea.
Ingia youtube search note 8 spen issue kuna video za ku solve zitakusaidia

Samsung galaxy note 3 snapdragon
 
Back
Top Bottom