Naomba msaada kwa mnaoagiza vitu aliexpress

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Naomba kufahamu kwa mtu aliyewahi kuaguza kitu china na akatumia njia ya "Aliexpress Standard Shipping" au njia yoyote isiyokuwa na tracking.

Atajuaje kama mzigo wake umefika?
20200524_092041.jpg
 
Posta watakuita wenyewe. Mzigo uwe na tracking number ama usiwe na trucking number kikubwa uwe umeandika adress na number yako ya simu kwa usahihi.

SangaweJr
 
Naomba kufahamu kwa mtu aliyewahi kuaguza kitu china na akatumia njia ya "Aliexpress Standard Shipping" au njia yoyote isiyokuwa na tracking.

Atajuaje kama mzigo wake umefika?View attachment 1458154
Kama ulivyoambiwa, hata kama wameandika TRACKING UNAVAILABLE , lakini huwa zinakuwa na tracking number na unaweza kuTrack kila hatua ya mzigo, kuanzia mzigo unapotoka china-> singapore na unapoingia Tanzania unaanza kuTrack kupitia Local Tracking System ya Tanzania Post.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi poteza mzigo zaidi huwa ina chelewa tu, lakini pia ukiona siku zimeenda protection time inaisha mzigo huuoni na ulitoa pesa ndefu ( ingawa mizigo mingi ya pesa ndefu huwa na tracking number).
Si ipo option ya kudai refund.
Mbona mambo mepesi unayafanya yawe magumu.

SangaweJr
Vipi kamanda mambo yametulia au ndo kusubirishana 60-90 days?
 
Back
Top Bottom