Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,929
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
 
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya chama cha mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni naskia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

naskia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye izo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
38 unalilia urithi?

Aisee unazingua wewe
 
Baadae ukija kufanyiwa hivi unadai unatengwa kumbe akili ndogo
FB_IMG_1588422418485.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Miaka 38 unalilia urithi?, baba yako pia alirithi?. Achana na mali za urithi, baba yako ndio anamamlaka ampe nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu wewe ni kijana wa kiume pambana upate mali zako mwenyewe.
Iweje uteseke na mali za mwingine.

Embu pata uchungu na uje hapa jukwaaani kuomba ushauri wa ni biashara gani inaweza kukuingizia B 1 moja kwa siku...
 
Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake.

Nilichoshangaa baba baada ya kunifukuza na kutafuta mtu wa kukaa mlangoni (mlinzi) kama ili kuzuia yeyote mgeni kuingia ndani bila ruksa nikiwepo mimi, jana jioni nasikia baba ameitisha kikao cha ndugu zangu wengine pasipo kuniita na mimi kwenye kikao kile.

Nasikia baba amegawa mali zake kwa wadogo zangu, naumiaa sana ndugu zangu wana jamiiforum nisaidieni, nahisi kufa naombeni mnishauri njia nzuri ya kwenda kumfungulia jarada mahakamani, mimi ni mtoto wake kabisa, kwanini hanishirikishi kwenye hizo mali, wakati mimi ni mkubwa nina uchungu na hasira sana, naombeni mawazo yenu wakuu.

Kwa sasa nipo kwa rafiki yangu nakaa kwao, sina pa kuanzia wakuu maana pale nilikuwa nimepanga kodi iliisha na kazi sina kabisa, rafiki yangu ameniambia nipigane juu chini nipate na mimi sehemu ya mali ili niweze kuanzisha maisha yangu.

Wataalamu wa sheria, na haki za vijana na urithi nisaidieni, mtoto wenu nataka kuzurumiwa na baba yangu kweupe kabisa
Kijana wa miaka 38. Mungu akurehemu
Wewe ni mzee wa makamo
 
Wiki iliyopita ulidai una miaka 37. wiki hii umeongeza mwaka mmoja
 
Humu JF kuna watu wanastaili zao za Mada ilimradi tuu kupata wachangiaji wengi..

Haya ngoja nami nichangie.

Yaan kweli unamshawishi baba awe na kadi ya ccm? Haya hiyo ccm yako Imekusaidia nini hadi miaka 38 alafu unalia urithi wa baba ambae hakuwa mfusi wa ccm?
 
Watoto wa Mengi wameenda mahakamani kupinga wosia kwa kuwa baba yao hakuwagawia hivyo alikuwa kachangamyikiwa!

Fuata nyayo zao kesi zenu hazitofautiani.
 
Back
Top Bottom