Wakuu naomba msaada wa link ya Microsoft Word

manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,518
2,000
Kama heading inavojieleza

Nimejaribu kuutafuta humu bila mafanikio kwa yeyote atakaeweza kunisaidia link ya microsoft word ntamshukuru sana, nilipakua google word ya 2013 nashindwa kuitumia inataka key, natumia window 10 Ram 4 gb na sytem 64bit ikiwa vinasaidiwa kuelewa mtanisaidia vipi

Natanguliza shukrani zangu 🙏
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom