msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    National College of Tourism Arusha na Institute of Rural Development Planning - Dodoma

    Wapendwa, naomba kusaidiwa. 1. Chuo cha Mafunzo ya Utalii yanakupa ujuzi gani-expertise? Na baada ya kumaliza kazi za mhitimu (in case ameajiriwa) ni zipi? Day to day activities. Mafunzo yanajumuisha acquired skills zipi. 2. Chuo cha Rural Development Planning - DODOMA (Chuo cha Mipango)...
  2. Msaada Nyimbo za kwaya HURU waimbaji wa sifa

    Wakuu habari za mida hii! Wakuu naombeni Msaada kwa mwenye nyimbo za kwaya ya Huru waimbaji wa sifa, Anisaidie kunitumia WhatsApp nimejaribu kutafuta Google,Youtube na kwenye vibanda wanakoingiza nyimbo kwenye simu, Lakini sikufanikiwa Ingawa ni kwaya ya zamani lakini naamini humu JF ni...
  3. Msaada: kipini chekundu ninachokiona mbele ya baadhi ya Threads huwa kina maana gani?

    Wapendwa Wakuu habari za mida hii, Shida yangu ni hiyo kuna baadhi ya thread ukiwa unapita unakiona kipo mbele ya threads. Sijajua kina maana gani au ndo ban hiyo,
  4. Msaada wa ufafanuzi kuhusu koz ya International Relations and Diplomacy

    Wanajamvi, Poleni na majukumu. Naomba ufafanuzi kuhusu hii course ya International Relation and Diplomacy. Watu wanaosomea hii course huwa wanakuja kufanya kazi gani na wanafanya kazi wapi? Upatikanaji wa ajira zake ukoje? Kwenye uandishi kama kuna sehemu nimekosea mnielekeze sababu sijawahi...
  5. Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

    Habari ndugu zangu, Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa, Naona maisha ya kuajiriwa siyo, Nikaamua niwaze kuanza uuzaji wa mchele kutoka mbeya au Ifakara, Nataka niende Jumamosi...
  6. MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki... Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
  7. Tuelimishane kuhusu Mbunge, kuvunjwa kwa Bunge na Baraza la Mawaziri

    Naomba Kujuzwa yafuatayo Rais anapofungwa Bunge, je Bunge ndio linakuwa limevunjwa rasmi kwa maana ya Ubunge wa Mbunge unakoma? ( kwa maana ninavyofahamu pamoja na mtu kushinda/kuteuliwa kuwa mbunge ubunge wange unaanza rasmi pale alipokasimiwa/apishwa rasmi Bungeni). 2. Kama Bunge...
  8. Msaada: Naomba kusaidiwa jina la biashara

    Wakuu habari, Naomba kusaidiwa jina la biashara. Naomba liwe fupi lakini lenye kuakisi ninachokifanya. Biashara ninayotaka kufanya ni Agent wa kuwa naagiza mizigo kutoka Nje. Naomba kuwasilisha.
  9. Msaada: jinsi ya kutoa links kutoka vyanzo mbalimbali vya habari na kuleta jamiiforums

    Matumaini wazima wa afya, Twende moja kwa moja mimi shida yangu ni kutaka kujua au kupewa maujuzi kwamba naweza kuona huko habari chanzo chochote cha habari!? Lakini wenyewe nao wana links yao ili uingie usome habari kwa usahihi kamili! Sasa lengo langu ni kwamba nawezaje kuchukua ile links...
  10. Msaada: Namna ya kuitafsiri na kuisoma Katiba

    Kuomba msaada wa kujua Jambo naamini si ujinga. Kwenye katiba kuna kitu kinaitwa ibara na sheria ndogo za mwaka Fulani. 1: Ibara Ni Nini? Na ibara za katiba zinapatikana wapi? >>Ibara ndogo Ni Nini na zinapatikana wapi? 2: Sheria ndogo Ni zipi na zinapatikana wapi? Na kwenye katiba, unakuta...
  11. Jinamizi ni nini? Naomba msaada wenu

    Asalaam Nimekuza najiuliza Jinamizi ni nini hasa? He ni Jini? Mizimu? Pepo au mashetani? Nyakati za usiku hasa usiku wa manane inatokea upo kwenye ndoto ambayo huwezi kupumua wala kuongea lakini unasikia kila kitu. Mbaya zaidi unakua unatamani hata mtu akuguse ili uzinduke. Kifupi ni kama...
  12. Msaada Tafadhali: kwa yeyote anayeweza kunisaida kwa hili

    Habari zenu wakuu. Nimezingatia kauli ya wahenga isemayo "mficha maradhi mauti umuumbua", binafsi nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu wataalamu. Umri wangu ni mdogo tu,lakini nimekuwa nikifanya shughuli mbalimbali za utafutaji,nimekuwa nikijiwekea malengo fulani kutokana na shughuli...
  13. Nawezaje zipata namba za simu nilizohifadhi (save) kwenye yahoo? msaada please

    nilihifadhi namba za jamaa na ndugu kwenye option ya save via yahoo!! sasa simu niliibiwa, nowa nipo kwenye account yangu ya yahoo... nimetafuta option ya kuona namba nilizokuwa nasave kwa yahoo sijafanikiwa, please msaada
  14. Thamani ya US Dollar kwenye hela ya Kitanzania Tsh ni ipi kwa sasa?

    Habari za mida hii Wakuu hope mko vema na jumapili inaenda vizuri, Okey twende kwenye Mada kidogo Kuna kitu wengine hatujui kama mimi ukiniambia maswala ya Dollars najua ni hela ya kimarekani ila sasa shida inakuja hapa. Mfano mtu anakwambia Dollar $2 hapo sijui kwa hela yetu ya Tanzanian...
  15. Wadau msaada wenu ninaimani humu nitapata mtanipatia ufumbuzi

    Habari za humu wadau, Poleni na majukumu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 kwa sasa nipo Dar ombi langu kubwa kwenu ni kunipa msaada wa mawazo kwakuwa naomba kazi au kwa mwenye connection ya kazi yeyote ya halali niweze kujikimu kimaisha maana hapa nilipo nipo kwa ndugu tu sina hili wala...
  16. Msaada, natafuta soko la Rosela

    Habarini wana jamvi, Kama kichwa kinavyosomeka. Mimi nipo Geita na nina takribani gunia nne za hilo zao na bado naendelea na uvunaji. Natafuta mtu anayehitaji hii bidhaa nimuuzie. Nikipata maelekezo pia kuhusu mahali ambapo naweza kuuzia itakuwa ni vema pia. Nitasoma replies pia. Naombeni...
  17. R

    Msaada taa ya Overdrive ina blink

    Wataalam naombeni msaada (ufafanuzi), Nina Noah sr40 nimegundua Mara ninapo-switch overdrive on taa haizimi Kama ilivyo kawaida ya gari ikiwa katika overdrive mode (gear) badala yake taa inawaka na kuzima (flash/blink) tatizo ni nini wajameni na wale wakazi wa Arusha naomba tuelekezane gereji...
  18. Wajuzi wa Window 7 msaada

    Hii window 7 kwenye PC hapa inagoma ku-start yaani ikifika pale kwenye logo inazima. Shida nini hapo? Nimejarbu njia nyingi imegoma.
  19. A

    Msaada: Boss wangu hataki kunipa mkataba wa kazi, ananiahidi na kunizungusha

    Habari, Naomba msaada wa kimawazo, Boss wangu hataki kunipa mkataba wa Ajira ijapokua nafanya kazi kwa sasa nina mwaka na miezi mitatu, la kila siku nikimkumbusha anaahidi uongo. Ni company private. Nataka kuchukua maamuzi ya kuacha kuja kazini hadi pale atakapo nipatia mkataba huo. Ni...
  20. Msaada sites ambazo naweza kudownload material ya kufundishia darasa la 1 mpaka la nne

    Naomba website za kibongo kwa material ya shule za msingi ambazo ni free na hazina complicated log in
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…