msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intrvt

    Changamoto kwenye Blockchain exchange nahitaji msaada

    Naomba kufahamu kama kuna mtu aliyeweza ku upgrade to gold level kwenye Blockchain exchange jamani. Nimepata challenge kwenye kuwa verified Kwa kutumia government issued ID (nilitumia voter's ID). Kama kuna aliyeweza kutumia passport au driving license pia naomba mwongozo, hii inanikwamisha...
  2. Kilangi masanja

    Msaada kuhusu eSIM

    Habari zenu wadau, Naomba msaada wa kujuzwa kuhusu hii kitu Kwenye simu za iphone. Kwa sasa kumekua na matoleo ya iphone ambapo ni dual line ( laini mbili), lakini laini moja inakua ni eSim (laini usioiona kwa macho na inakua ndani ya simu). Hoja yangu ya msingi hapa nataka kujua je, hapa...
  3. mheshimiwamtemi

    Msaada ku-unlock Huawei c2281

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kuifungua simu hii ili Nitumie laini za mitandao yote maana inaandika "insert uim card" Asante
  4. racka98

    Msaada wa jinsi ya kuhusu kuchukua mzigo posta

    Wakuu nina swali kidogo. Niliagiza display ya laptop kutoka eBay trh 23 mwezi wa 6 na imeonesha kua tarehe 6 (Jumatatu) mzigo umeshapita customs na status imeandika Hold item at Point of delivery. Reason: no home delivery. Go to pick up Sasa sijatumiwa message wala kupigiwa simu, je natakiwa...
  5. M

    Naomba ushauri wa Course ya kusoma kulingana na matokeo haya

    Habari za wakati huu ndugu Wanajamvi, Kama kichwa Cha habari kinavo jieleza hapo juu mimi ni muhitimu wa Kidato cha Sita mwaka jana wa 2019/2020 mchepuo wa CBG matokeo yalikuwa kama hivi BAM=B, GS=C chemistry=D Biology=D Geography=D, sema msi shangae kwanini BAM, nina ufaulu huo nili chaguliwa...
  6. D

    Msaada wa haraka unahitajika

    Ni kwa Mara ya kwanza naomba msaada humu jf, Nina shida na Tsh. 200,000. Maana Niko pabaya, kwa ambaye yupo tayari kunisaidia Tafadhali, anisaidie, nitamrudishia. Msaada jamani watanzania wenzangu, Hili tatizo linaniumiza kuisha kwake ni mpka nipate hiyo fedha, Ubarikiwe Ahsanteni wakuu...
  7. Mr Q

    Wajuzi, hii inaweza kuwa ni aina gani ya simu?

    Hizo n screenshot kutoka kwenye series inayoitwa HANNA season ya pili, episode ya 7 Hiyo simu ilionekana nikaiscreenshot kama hivyo. Sasa naomba kama kunamtu kwa huo muonekano anaweza kuitambua anipe jawabu Natanguliza shukrani
  8. Heater

    Msaada wa kisheria kuhusu kuachishwa kazi

    Hhhhhh
  9. K

    Msaada kwa ufaulu huu unaweza kusomea kozi gani nzuri

    Civics=C History=C. Biology=C Chemistry=C English=C. Kiswahili=C. Geography=D. Math=F. Div(III) point 22. 2019. Ushauri wenu muhimu wadau katika kufanya maamuzi
  10. T

    Nitumie mbinu ganii ili niweze kufanikisha kuwasaidia Wanafunzi wanaosahau haraka?

    Habari za muda huu, Kwa sasa nipo darasani nafundisha shule za awali, hapa darasani kuna wanafunzi kama wawili, yaani nimetumia mbinu zote za ualimu ili hawa watoto waweze kukumbuka masomo darasani, yaani unamfundisha leo, kesho akija amesahau. Kuchapa sio njia mbadala ya yet kuelewa japo...
  11. R

    Msaada tafadhali kwa kozi hii: Hospitality Operations

    Tafadhali naomba kufahamishwa kozi hii hapa inahusiana na nini? Hospital operations ndiyo nini? Unafanya kazi wapi? Ajira zake zikoje Tanzania? Unakuwa na utaalamu gani? Taarifa ya Kuchaguliwa Numba ya Mtihani Jina Jina la ChuoNational College Of Tourism - Arusha KoziHospitality...
  12. kinjumbi one

    Msaada wa kufika shule ya Sekondari Makongoro

    Habari, Naomba msaa wa kujuzwa ilipo Shule Makongoro Secondary school najua ipo mkoa wa mara lakini sijui Wilaya gani? Na nafikaje? Natanguliza Shukrani sana.
  13. C

    Msaada gari imegoma kuwaka ghafla

    Habari zenu, Nipo na project yangu kufanya engine conversion ila sasa nimekwama njiani. Nimeweka engine ya 2jzge non vvti kwenye gari, siku za mwanzo, mafundi walifanya wiring na wakajaribu kuiwasha ikakubali fresh. Kwa vile ilikuwa kuna vitu vyengine kama exhaust nlikuwa sijamaliza...
  14. P

    Nina shahada ya ualimu, natafuta kazi

    Nina degree ya Education kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, certificate ya Research and Data Analysis chuo kikuu cha SAUTI, certificate ya Administration and Management chuo kikuu cha SAUT, experience three years in teaching. Namba zangu ni 0768752056 na 0673650746
  15. MigoMigo09

    Maswali yanayoulizwa sana kwenye interview ya utumishi kada ya ununuzi na ugavi (procurement)

    Naomba kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usahili wa kada hyoo naomba msaada wa kupata angalau kujua wanauliza maswali gani ili niweze kujiandaa na mimi. Nitangulize shukran kwa wote asanten sana
  16. KamyZee

    Naomba msaada jinsi ya kupata uhamisho kidato cha tano

    Habari zenu wanajamii forum, I hope all is well with you. Nimechaguliwa shule ya Loleza iliyopo Mbeya kwenye tahasusi/combination ya PCB (yaani Physics, Chemistry and Biology) lakini kwa bahati mbaya au nzuri, nimeshindwa kwenda. Ningependa kusoma katika shule ya sekondari Dodoma kwenye...
  17. GuDume

    Nahitaji msaada wenu ninakaribia kupoteza files ambazo nimeyatunza miaka mingi sana

    Wadau wa JamiiForums habari yenu, Kuna files ambazo ni nyeti sana nilizi-ZIP na ku-Encrypt kwa password mwaka 2008-2009. Bahati mbaya sana nimesahau Password yake tayari nimehangaika sana pasipo mafanikio kila "Password" nimejaribu. Je, kuna mtu anaweza niambia nifanye nini? Maana nimejaribu...
  18. G

    Msaada kwa mambo ya Bima

    Wadau habari blue Monday. Naenda kwenye hoja. Nilikuwa na IST ya 11,500,000. Nilipigwa na Ice tarehe 10/10/2019. bima nilikata ya tarehe 08/07/2020-07/07/2020. Claim amount imesoma 15,800,000 na payable ni 9,000,000. Katika michakato hii, je, hii gari nimali ya bima au inabakai kuwa yangu?
  19. C

    Msaada wa Daktari Bingwa wa Sikio Ent Mwanza

    Samahani wakuu ninashida ya sikio nilikua nina fungus nimejaribu kutumia antibiotic sujaona nafuu samahani ambae ana fahamu dactari bingwa wa ENT. Naomba msaada tafadhali
  20. Kaluluma

    Msaada wa maelekezo kwa wakazi wa Dodoma

    Wasalaam wakuu, Naomba mwenye kufahamu jinsi ya kufika Kizota ukitokea Sabasaba Stendi au Nyerere Square, natanguliza shukrani🙏
Back
Top Bottom