National College of Tourism Arusha na Institute of Rural Development Planning - Dodoma

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,294
73,833
Wapendwa, naomba kusaidiwa.

1. Chuo cha Mafunzo ya Utalii yanakupa ujuzi gani-expertise? Na baada ya kumaliza kazi za mhitimu (in case ameajiriwa) ni zipi? Day to day activities. Mafunzo yanajumuisha acquired skills zipi.

2. Chuo cha Rural Development Planning - DODOMA (Chuo cha Mipango) unapata expertise gani na ya ajira ni idara zipi na kazi za kila siku ni zipi? ie day to day acticities.
 
Chuo cha utalii ni masuala ya utalii na chuo cha mipango ni mambo ya mipango miji. Majina ya vyuo hivyo yanaakisi ujuzi, kozi na ajira.
Kwa utalii ajira zipo sekata binafsi na serikalini, mipango ndio hao maafisa mipango mingi ktk halmashauri
 
Uki

You're Right
 
Uki

You're Right
Asante, sasa kwenye utalii, kazi zangu zinakuwa ni zipi za kila siku? Nikipata diploma nikaajiliwa say TANAPA mbugani, kazi zangu zinakuwa ni zipi? hasa hii kozi ya Hospitality operations ya miaka mitatu Arusha?
 
Chuo cha utalii ni masuala ya utalii na chuo cha mipango ni mambo ya mipango miji. Majina ya vyuo hivyo yanaakisi ujuzi, kozi na ajira.
Kwa utalii ajira zipo sekata binafsi na serikalini, mipango ndio hao maafisa mipango mingi ktk halmashauri
asante sana. Nikuulize tena:
Kozi hii Hospitality operations, ya miaka mitatu Arusha? unasomea ujuzi gani?
 
Back
Top Bottom