Msaada kwa watumiaji wa computer au walio somea information and technology ( IT)

mbotoro kivoi

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
543
1,000
Habari wana jukwa kama nilivo eleza apo juu mim ni mtumiaji wa computer ila sina utundu nayo sana kwa undani baada yakununua yangu nina kama miezii sita ivi natumia sana san kwa matumizi ya mtandaoni pamoja na kujisomea coz napenda kusoma san mtandaoni.

1;je application gani nizamuhimu kuwa nazo kwenye pc ,
2;ukitaka ku coment hasa kwenye facebook unafanyaje coz baada yakuandika coment nashindwa ku post,
3; natumia pc wakati window defender ime expiree kuna madhara gani coz nikitaka ku update inaandika waiting tu aifanyii chochote mpaka masaa mawili,
4;umuhimu waku restart mashine . nategemea majibu yenu kama kuna kingine chakufanya kwenye mashine tushirikishane kwa wale weny uwelewa wa IT pamoja n wenye uzoefuu ili twende sawa na globalization na pia natumia window 10...….
 
MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
1,357
2,000
Umenunua au

mchichapori

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
710
1,000
Basic Softwares....
Chrome browser
Vlc player
Kaspersky free version/Defender alternative
WinRar

Software nyinginezo inategemea na matumizi yako mfano.
U-Torrent
Adobe reader.
Adobe photoshop.
Filmora n.k....

Weka bundle hata 3gb halafu update window yako to latest updates. Perfomance na muonekano utakuwa mzuri.
Baada ya update funga updates isiwe inakula bundle utumiapo internet.

Hakuna umuhimu wa kurestart mashine kama hakuna sababu maalumu.
Ahsante.
 
shukrani bro na pia unapotaka ku coment facebook unafanyaje coz baadaa yakuandika coment nashindwa ku post
 
mbotoro kivoi

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
543
1,000
Kukoment fb kunahusiana vipi hapo,

Ni kwamba usijifiche humu mkuu tafuta mtu akupige introduction course ya computer basic ,
Naweza kukusaidia for free via WhatsApp,
Ila utagharamia bando
ok itabidi nikapige short corse ya ICT
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom