Habari wanajukwaa wenzangu, natumai mu wazima mkiendelea na mapumziko ya weekend hii.
Moja kwa moja nalipanda jukwaa hili nikihitaji msaada kuhusu ajira mpya za ualimu.
Kifupi Mimi ni mhandinsi Ujenzi miaka ya 2016 nilibahatika kupata ajira serikalini ya kufundisha kwa kuwasikuwa na pa...
Habarizenu wana Jf matumaini yangu muwazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye topic . Hivi karibuni nime 'create' blog yangu ya extension ya .blogspot ,baada ya kupitia mchakato wa kutosha hatimaye ilifika sehemu ya ku submit url for indexing and crawling , nime google vyakutosha lakini...
Kwanza nitangulize shukrani zangu za pekee kwa wanajukwa hili kwa kuwa nimejifunza mengi
Naombeni msaada hapa gari yangu ni spacio new model 1zz imekuwa na tatizo la kuzima nikiwa naendesha haswa nikiwa naendesha sehemu ambayo situmii/sikanyagi mafuta huzima na nikijaribu kuwasha inagoma...
Habari Wakuu.
Nahitaji tofali 4,800 kwa ajili ya kuweka fence ya ukuta wa nyumba, ili kupunguza gharama kidogo nimefikiria kukodisha mtu wa kufyatua kwenye site yangu. Sasa naomba anayefahamu anijuze;
1) Zitahitajika cement mifuko mingapi ili kutoa tofali 4,800
2) Mchanga kiasi gani?
3)...
Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa mihamala midogo midogo. NB. Kwa experience binafsi response sio mzuri mabroker hawajibu.
Asante
Nahitaji kujua wapi nitapata huduma ya ku convert pound sterling notes kwenda kwa hela ya kibongo. Nimejaribu bureau de change za mkoani wakaniambia hawapokeagi wanaishia dollars tu.
Hapa bongo wapi niende nikapate huduma chap maana nataka malikia nikamgeuze mashuka ya kimasai niishi nayo this...
Habari wana jukwa kama nilivo eleza apo juu mim ni mtumiaji wa computer ila sina utundu nayo sana kwa undani baada yakununua yangu nina kama miezii sita ivi natumia sana san kwa matumizi ya mtandaoni pamoja na kujisomea coz napenda kusoma san mtandaoni.
1;je application gani nizamuhimu kuwa...
Wataalamu naomba kujua, Kama una YouTube Channel na Blog ambayo maudhui yake yanafanana na Channel. Je unatakiwa kusajili leseni mbili tofauti? au Ni leseni moja tu inajitosheleza?
Maana leseni kwa mwaka ni Tsh 500,000 - 1,000,000
Habari ndugu zangu na shida moja kwanzia mitandao irud mimi kwangu speed ya internet kwenye pc ni ndugu saana haijalishi nitumie WIFI(SIMU) au moderm ila kabla ya hapo ilikuwa ina speed nzur tu tena zaid ya sanaaa ila baada ya michaguz yao speed hakuna kabisa
Wakuu nlikuja na uzi hapa kitambo kuwa nilichaguliwa kusoma clinical medicine nikaomba ushauri nikapewa.
Nimeanza masomo ila kuna vitu vinanichanganya kidogo. Basic anatomy na clinical anatomy ni nini maana zake wakuu ?ntafrah sana mkinijuza
Husika na kichwa cha habari hapo juu jamani ndugu zangu nina kama mwez na nusu koo pamoja na ulimi wangu vimekuwa vikinisumbua sana na vidonda sasa stage iliofikia napata hofu sana naomba anaejua dawa jamani msaada niokoe maisha yangu
Wataalamu wa afya msaada wa elimu ya afya,Tunaomba msaada wenu tupate ufafanuzi juu ya haya magonjwa ya kinywa maana yanafanana kwa dalili lakini naangalia approach ya matibabu yake yaweza kuwa tofauti.
Tupate mtaalamu wa afya ya kinywa na meno atusaidie.
Wakabwa poleni na majukumu,
Mimi mdogo wenu nimechaguliwa kozi ya Botanical Science UDSM na mkopo nimepata asilimia zote lakini pia kuna chuo nimepata diploma ya medical labaratory, kulingana na uzoefu wenu wakubwa wa kupima uzito wa hizo kozi mbili je niende wapi?
Mimi ndoto zangu zlikua...
Nchi imefilisika
=====
Kenya Seeks $2.3 Billion Loan From IMF to Boost Recovery
By David Malingha
November 22, 2020, 8:59 PM EST
Updated on November 23, 2020, 5:47 AM EST
State also seeks $1 billion to $1.5 billion from World Bank
Finance chief says Kenya yet to decide on G-20 debt...
Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo, naomba tujuzane manake nataka niwe natuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko.
Nahitaji kujua vp nami naweza kuwa msambazaji yan nikauziwa kwa bei ya kiwandani utaratibu ukoje.Hapa namaanisha...
Natumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu.
Ndugu, Wajuzi wa Mambo naombeni utatuzi wa PC yangu aina ya dell.
Ghafla imepata tatizo la kushindwa kudisplay kama ilivyo kawaida na kuanza kuonesha giza tu au sometimes inadisplay kwa umbali sana, ila vitu vingine vinaonesha vinaoperate kama...
Mbunge mmoja kule Ulaya alihoji vigezo vilivyotumika kuwapa Watanzania msaada wa hela dhidi ya Corona ilhali wao Watanzania walishasema walipona Corona kwa kupitia maombi ya siku tatu.
Dah! Naona Watanzania wamejibu kwa hasira, povu zinawatoka, mishipa imevimba. Hehehehe!
Hapa hii video waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.