Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
509
659
Habari ndugu.

Naomba kupata elimu ya hawa DSE pamoja na namna ya kutumia hiyo application yao kununua hisa.

Ahsanteni.
 
Ingia jaza issue zote zinazohitajika then utawaona brokers ambao wataweza kuku guide ila tatzo la stocks za Tanzania hazina info za kutosha kabisa zinaendeshwa kwa kisiasa Ila mm natumia etoro app niliwekeza kwenye app ya zoom kwa miez mitatu nimepata pesa nzuri
 
Etoro inakubali bongo?! Unawekezaje & gawio lako unalipataje?
 
Mimi nimetumia bank ya absa imekubali ila nmb iligoma kwa Mara ya kwanza

Ukifungua app ya etoro unachagua group za stocks ambazo unahitag kuwekeza kuna SP & p500, Dow Jones pamoja n Nos days

Kwenye kuwekeza kuna daily basis, monthly na annually kwaio niwewe tu unahitag nin ila lazima uwe unauwezo wa kufanya fundamental analysis amfano quality of the company, cashflow and financial statement za company ndo itakupa uleokeo wa kuchagua time of investment though hizo fundamental alanlysis unaweza pata kwa Ku google au kwakutumia quora app kuna groups huwa wanatoa hizo info

Ku invest iz simple just press buy kwenye any stock ambyo upo willing Ku invest chagua time then weka pesa na inatakiwa uwekeze kwenye stock ambyo INA quarterly earning increase rate ya 25% from past 5years hii kidogo itakupa confidence ya kuwekeza hapo with minimum risk

Kama huna info za kutosha kuhusu stocks kuna option ya Ku follow broker wewe utakuwa unacopy ancho wekeza ila lazima uangalie profile yake ujue kafaidika kiasi gan na ka loss kiasi gan pia kuna review za Huyo MTU
 
So gawio lako unalipwa straight to your absa account ama utaratibu ukoje mkuu?
Na je unaweza wekeza kwenye ETFs & mutual funds?
 
Ndio kuna option ya Ku withdraw then after 3days napata. Kwenye EFFS na mutual funds zipo ila zina volatility kubwa sana kwaio sikushauri ila kama in very proffessional sawa
Okay.. so waweza tumia akaunti ya shilingi ama unapaswa fungua ya dollar?

Nikifuatilia kwa baadhi ya watu naona wapo wanaoshauri kuwa ni heri uwekeze kwenye ETFs Ina punguza risk zaidi kuliko kuwekeza directly in the stock market ndo maana nikauliza...japo wanasema sio zote na hizi ni mbili au tatu sizikumbuki majina
 
Nikifuatilia kwa baadhi ya watu naona wapo wanaoshauri kuwa ni heri uwekeze kwenye ETFs Ina punguza risk zaidi kuliko kuwekeza directly in the stock market ndo maana nikauliza...japo wanasema sio zote na hizi ni mbili au tatu sizikumbuki majinani

Okay.. so waweza tumia akaunti ya shilingi ama unapaswa fungua ya dollar?

Nikifuatilia kwa baadhi ya watu naona wapo wanaoshauri kuwa ni heri uwekeze kwenye ETFs Ina punguza risk zaidi kuliko kuwekeza directly in the stock market ndo maana nikauliza...japo wanasema sio zote na hizi ni mbili au tatu sizikumbuki majina
Ni dollar, ushauri wangu usiwekeze kwenye EFT has a kwenye hizo international market indices sababu unahitag proffessional knowledge au uwe umesomea kbisa
 
Hiyo etoro minimum investment in 200$ so kama huna idea ya stock market au etoro yenyewe pitia sites kama udemy(online courses) usome pia kujua how etoro works pitia YouTube utapa additional information
Ni dollar, ushauri wangu usiwekeze kwenye EFT has a kwenye hizo international market indices sababu unahitag proffessional knowledge au uwe umesomea kbisa
Shukrani sana kiongozi....bado nafanya research nikiwa poa ndo nitaanza rasmi.
Nimekuwa na plans za ku buy stocks za nje kitambo I just didn't know it was easy walau kwa sisi tusio na mabilioni 😄. I wish Robinhood ingekubali bongo nayo ingekuwa poa sana maana $200 sio kila mtu aweza ipata
 
Iyo robinhood jaribu kufungua akount na virtual mastercard za inje pia ukiwa na VPN
 
Mimi nimetumia bank ya absa imekubali ila nmb iligoma kwa Mara ya kwanza

Ukifungua app ya etoro unachagua group za stocks ambazo unahitag kuwekeza kuna SP & p500, Dow Jones pamoja n Nos days

Kwenye kuwekeza kuna daily basis, monthly na annually kwaio niwewe tu unahitag nin ila lazima uwe unauwezo wa kufanya fundamental analysis amfano quality of the company, cashflow and financial statement za company ndo itakupa uleokeo wa kuchagua time of investment though hizo fundamental alanlysis unaweza pata kwa Ku google au kwakutumia quora app kuna groups huwa wanatoa hizo info

Ku invest iz simple just press buy kwenye any stock ambyo upo willing Ku invest chagua time then weka pesa na inatakiwa uwekeze kwenye stock ambyo INA quarterly earning increase rate ya 25% from past 5years hii kidogo itakupa confidence ya kuwekeza hapo with minimum risk

Kama huna info za kutosha kuhusu stocks kuna option ya Ku follow broker wewe utakuwa unacopy ancho wekeza ila lazima uangalie profile yake ujue kafaidika kiasi gan na ka loss kiasi gan pia kuna review za Huyo MTU
Mkuu minimum capital investment ni kiasi gani?
 
So gawio lako unalipwa straight to your absa account ama utaratibu ukoje mkuu?
Na je unaweza wekeza kwenye ETFs & mutual funds?
Yah na pia zina fee maana zinakua considered kama CFD'S ila trading 212 nayo iko poa maana unaweza nunua fractional shares hata unit 0.1 lkn kwa etoro haipo
 
Okay.. so waweza tumia akaunti ya shilingi ama unapaswa fungua ya dollar?

Nikifuatilia kwa baadhi ya watu naona wapo wanaoshauri kuwa ni heri uwekeze kwenye ETFs Ina punguza risk zaidi kuliko kuwekeza directly in the stock market ndo maana nikauliza...japo wanasema sio zote na hizi ni mbili au tatu sizikumbuki majina
Risk what u can afford to lose japo ETF ni more safe kuliko individual stock na usi invest based on what people fanya research yako
 
Shukrani sana kiongozi....bado nafanya research nikiwa poa ndo nitaanza rasmi.
Nimekuwa na plans za ku buy stocks za nje kitambo I just didn't know it was easy walau kwa sisi tusio na mabilioni . I wish Robinhood ingekubali bongo nayo ingekuwa poa sana maana $200 sio kila mtu aweza ipata
Trading 212 minimum ni 1£....mm nina account kote na nime invest kwny platform zote hzo mbili na more reliable ndio hyo trading 212 zaidi kwa wstu wakipato cha chini
 
Back
Top Bottom