Kwa wataalamu wa anatomy naomba msaada

lelulelu

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
401
366
Wakuu nlikuja na uzi hapa kitambo kuwa nilichaguliwa kusoma clinical medicine nikaomba ushauri nikapewa.

Nimeanza masomo ila kuna vitu vinanichanganya kidogo. Basic anatomy na clinical anatomy ni nini maana zake wakuu ?ntafrah sana mkinijuza
 
Nimeanza masomo ila kuna vitu vinanichanganya kidogo.
Basic anatomy na clinical anatomy ni nini maana zake wakuu ?ntafrah sana mkinijuza
Sasa mkuu umeanza masomo halafu bado hujui maana zake? Kwani hukuhudhuri ile wiki ya orientation? Au kwenye introduction ya hayo masomo?
 
MkuuNimeelewa mengine ila haya yamenipita maana,naomba msaada,au kama kuna mwalimu yeyote aliyeko dar anaefahamu hii topic naomba namba zake nimtafute anifundshe
 
Wakuu nlikuja na uzi hapa kitambo kuwa nilichaguliwa kusoma clinical medicine nikaomba ushauri nikapewa.
Nimeanza masomo ila kuna vitu vinanichanganya kidogo.
Basic anatomy na clinical anatomy ni nini maana zake wakuu ?ntafrah sana mkinijuza
Basic Anatomy ni ramani au picha halisi ya mwili wa binadamu, viungo vyote na sehemu vinapopasa kuwa, Clinical Anatomy ni jinsi ramani hiyo hiyo na picha ya mwanadamu pamoja na viungo vyake inavyotumika katika kufikia ugunduzi wa magonjwa, vipimo na matibabu. Daktari baada ya kuijua Basic Anatomi vizuri, Clinical Anatomy ndio kitendea kazi chake kikuu.
 
Wakuu nlikuja na uzi hapa kitambo kuwa nilichaguliwa kusoma clinical medicine nikaomba ushauri nikapewa.
Nimeanza masomo ila kuna vitu vinanichanganya kidogo.
Basic anatomy na clinical anatomy ni nini maana zake wakuu ?ntafrah sana mkinijuza
Jaribu hata ku google
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom