R Robery12 Member Joined Jan 18, 2020 Posts 11 Reaction score 5 Nov 29, 2020 #1 Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship.
Azizi Mussa JF-Expert Member Joined May 9, 2012 Posts 9,199 Reaction score 7,562 Nov 29, 2020 #2 Kwani siku hizi darasa la 5 hawafundishi tena namna ya kuandika barua za kirafiki na za kiofisi? Anyway, tafuta karatasi na kalamu, meza, mahali pa kugandamizia, anza kuandika jina lako, unakoishi, tarehe, Andika kichwa cha habari, kisha maelezo yako, weka kwenye bahasha ipeleke unakotaka.
Kwani siku hizi darasa la 5 hawafundishi tena namna ya kuandika barua za kirafiki na za kiofisi? Anyway, tafuta karatasi na kalamu, meza, mahali pa kugandamizia, anza kuandika jina lako, unakoishi, tarehe, Andika kichwa cha habari, kisha maelezo yako, weka kwenye bahasha ipeleke unakotaka.
Shobi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 3,401 Reaction score 4,391 Nov 29, 2020 #3 Ask Goooooooogle
E EllySkyWilly JF-Expert Member Joined Aug 28, 2020 Posts 2,204 Reaction score 2,086 Nov 30, 2020 #4 Robery12 said: Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship Click to expand... Google, utapata maelezo yote kwa kina na unaweza kubahatika na kupata barua ya internship.
Robery12 said: Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship Click to expand... Google, utapata maelezo yote kwa kina na unaweza kubahatika na kupata barua ya internship.
6321 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 649 Reaction score 1,123 Nov 30, 2020 #5 Robery12 said: Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship Click to expand... Ni pm email yako.
Robery12 said: Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship Click to expand... Ni pm email yako.