msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

    Mambo vp jamiiforums. Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee (bila kutuma pesa) zinatosha sana. ========== ========== Juhudi za kimataifa zinaendelea katika kujaribu kuisaidia India wakati nchi hiyo inakabiliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

    Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu. 1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada, nataka ku-supply matunda kwa kiwanda cha Bakhresa

    Wakuu habari zenu, Kichwa cha habari kinavyosomeka, Ninaomba yeyote mwenye kujua ni namna gani tender za ku-supply matunda kwenye kiwanda cha kusindika matunda cha bakhresa zinavyopatikana kuna fursa ya mapera mengi sana hapa nilipo, nikaona naweza kuexploit hii kitu ikawa fedha. Msaada tafadhali
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kumsaidia Kisheria mtu anayekaribia kubambikiwa Kesi?

    Habari za usiku ndugu zanguni? Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Naomba mnisaidie wataalamu wa sheria, hivi ni Mbinu gani Unaweza kuitumia ili kumnusuru ndugu yako ikiwa umebaini kuwa kuna dalili za OC-CID kutaka kumbambikizia kesi? Yaani amekamata mtuhumiwa kwa kosa la kununua mali ya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Habari wakuu soma Kwa makini kisha unisaidie mawazo Mimi ni kijana wa miaka 25 ni HIV+ ninamalizia elimu yangu chuo fulani kikubwa hapa nchini Nimekua na mahusiano na mdada mmoja ambae amemaliza chuo last year ambaye na yeye ni HIV+ lakini mahusiano yetu yamekua yanachangamoto sana kutokana na...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada, nimeandika kazi lakini haionekani

    Habari wakuu. Natumia app ya writer plus kuandika kazi zangu. Sasa kuna kazi nimeandika haionekani lakini inasoma kama ipo vile. Ili kuwa jazi ya maneno 5,000. Na characters kama 35000. Inasoma charachers lakini haionekani. Nikiifungua kwenye microsoft wird inatoa vibox . Inaonekana kama picha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada please. Nitapata wapi mayai ya bata ya kutotolesha?

    Waheshimiwa sana salaam. Mimi ni mkaazi wa Dar es Salaam na hivi karibuni nimepata interest ya kufuga bata na kwa kweli nimeamua kuanza ufugaji wa bata wa kienyeji (bata maji) ila ninapenda kununua mayai bora yanayoweza kutotolewa kwa mashine na niyatotoleshe mwenyewe kisha nikuze vifaranga...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tv za solar wakuu

    Msaada wakuu nilikuwa natumia tv hizi za Mobisol badae ikawa inanisumbua nikaiuza. Naomba kujuzwa ni tv ya kampuni gani za solar ambay ni nzuri kwa uangavu wa picha na uimara wake pia na bei pleasee.
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Half engine Nissan Hardbody

    Wakuu nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Nina uhitaji wa half Engine ya Nissan hardbody QD 32, mwenye nayo au maelekezo wapi pa kuipata kiurahisi itakuwa msaada kwangu muhimu iwe jiji mwetu humu la joto. Asanteni.
  10. JamiiForums Tanzania Ng'ombe wangu hawashiki mimba

    Habari ! Ngombe wangu wana tatizo. Kwanza walikua wanamimba wote wawili, then zlivyofika miezi minne - mitano zikatoka wote. Baada ya hapo wamekua wakiingia joto lakini kila nikiwapandisha hawashiki mimba wote na ndama wao wameshakua wakubwa wanakaribia mwaka, still ng'ombe bado wanakamuliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu wa mbali ni bora zaidi kuliko ndugu wa karibu

    Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!! Na asilimia kubwa ukiishi na ndugu wakaribu lazima maneno ya kinafki yanatokea sana japo sio wote ila asilimia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu michango yangu ya PPF

    Wanabodi habari ya majukumu? Nakuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa mwenye kuelewa utaratibu wa Jambo hili. Mimi ni mwàjira katika sekta binafsi. Kabla ya serikali kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii nilikuwa mwanachama wa PPF. Baada ya kuunganishwa kwa mifuko tukaelezwa sisi wafanyakazi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula ana msaada gani kwa CHADEMA? Mbona kama hamna anachowasaidia, kwa ujumla hana political influence

    Huyu Bishop ambaye huwa anajinasibu kuwa ni mwanachadema kindakindaki hana ushawishi wowote kisiasa. Ni mlopokaji na mpiga kelele na kelele zake ni kama kelele za chura. Nilishangaa sana kumsikia Mambo Sasa amemkamata eti anataka kuitisha maandamano. Huyu jinsi anavyopuuzwa na watu ndio wa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Wakubwa Shikaamooni Wadogo zangu Habari zenu. Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto. Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Domain ya website yangu inauzwa, nifanyeje

    Wakuu mwaka 2011-2013 nilikuwa na blog website kubwa sana,ambayo ilipata watembeleaji wengi sana kila siku Ilikuwa inahusu marafiki/wachumba Muziki,habari,udaku na vichekesho.. Kiukweli hata kwenye search ingine ikikuwa katika top results Sasa nikanunua domain.name kupitia maddogs domain kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufikisha malalamiko JWTZ

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Leo nimepatwa na ajali iliyosababishwa na dereva wa JW aliyekuwa akiendesha gari aina ya hiace ndogo ivi yenye namba 1834 maeneo ya Ofisi za jiji Mwanza. Nikiwa natokea maeneo ya maji haouse nikiendesha ki TVS changu, nilipofika yalipomataa pale maeneo ya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa mwenye kulijua hili swali la kitakwimu.

    Wadau naombeni msaada mwenye kujua au idea yeyote juu ya hili swali la kitakwimu mawazo yenu tafadhali. "Identify and Explain two aspects that official statistics addresses."
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Instagram account ya biashara inagoma

    Habarini ndugu zangu. Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada jamani kuhusu abnornal hernia (ngiri ya tumbo)

    Habari ya weekendi wana jamvi. Naombeni mnisaidie kuhusu tiba ya huu ugonjwa wa ngiri ya tumbo yani nakosa adi raha tumbo launguruma na miushuzi kibao kila dakika nashindwa adi ku perform activity zangu kwa ufasaha ofisini kila dakika toilet kutoa ushuzi
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Barack Obama inaomba msaada wa kurudisha mwili wa Kezia Obama

    MY TAKE Aisee hapa jina la Barack Obama linatumika kumchafua Barack Obama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…