Mimi nimemeliza elimu ya secondari 2020 naitaji ku apply chuo nina ufaulu wa 4 ya 27, naombeni kushauriwa ni kozi gani yenye ajira? Ninayoweza kuajiriwa kwa haraka na kujiajiri vile vile, naombeni msaada wa JF
Nilikuwa nimshafanya uchaguzi nikasomee IT but nimegundua ajira ni ndogo kiteknolojia...
Habari wadau.
Naomba kufahamu hospitalini ambayo ina wataalam wa magonjwa ya kina mama ama gynaecologist mzuri kwa hapa Dar es Salaam.
Mpenzi wangu ana tatizo la maumivu wakati wa ngono, hii inatupatia shida kidogo maana tunakua hatufurahii ngono vile inavyotakiwa.
Naomba msaada wa kujua...
Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
baada
banda
chuma
dar
dar es salaam
daressalaam
duka
fundi
godown
halali
internship
kariakoo
kazi
kazi yoyote
kibarua
kuuza
kuuza duka
maduka
mafundi
manual
msaada
natafuta
natafuta kazi
sugu
ujenzi
warehouse
Alilazwa Wiki Mbili zilizopita All - Rounder nikaambiwa kuwa Mpwa wangu HE IS IN COMA hivyo nitulie tu Wahangaike nae waweze kuona kama wataokoa Maisha yake japo Daktari Mmoja aliniuma Sikio na kuniambia nijiandae Kisaikolojia kwa lolote lile.
Leo muda mfupi tu nimetoka Kumtizama Mpwa wangu...
Habari wanajamvi.
Mimi ni mkulima wa maharage ila changamoto kubwa sana ninayokutana nayo ni uharibifu mkubwa unaofanywa na ndege wanaoshabulia majani ya mimea wakati ikiwa michanga.
Hawa ndege ni wa rangi ya brown, wana mkia mrefu na kichwani wana kichungi. Kweli wananiharibia sana kiasi cha...
Wakuu salama humu?
Naombeni msaada katika hili. Mahali nilipo huduma ya internet kupitia mitandao ya simu haipatikani na ikitokea inasoma E kiasi kwamba siwezi fanya cha maana kwa kutumia mtandao.
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kuunganishiwa wireless internet ili niwe natumia wi-fi...
Habari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu.
Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya...
Kwema wana jukwaa la JF
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam tegeta nakuja mbele yenu kuomba kazi yoyoye halali ya kujipatia kipato. Maji yamenifika ukingoni baada ya kukaa muda mrefu bila kazi na na familia ya mke na mtoto mmoja na wote macho yao kwangu kama kichwa cha familia
Nina uzoefu na kazi...
Hello JF Members,
Natumaini mnaendelea vizuri, naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji connections ya kupata mtu anayeweza niuzie mafuta ya jumla/alizeti au kuniunganisha pia, napatikana Dar.
Nitafurahi kwa mchango wenu kwangu, najua nitapata msaada.
PM ipo wazi,
Habari za muda huu wakuu!
Mimi blogger na Kuna tatizo linanisumbua naomba msaada weny wenye ujuzi please
Kuna baadhi ya post zangu zina onyesha maandishi ya kiarabu ambayo mimi sikuyaweka na hata mfumo wa post hizo umebadilika, badala ya maneno kuanzia kushoto kwenda kulia yanaanzi kulia kwenda...
Hello, natumai wote ni wazima.
Naomba msaada kwenye mkataba imeandikwa mwajiriwa atalipwa mshahara wa siku kumi kwa mwaka mzima kama kiinua mgongo baada ya kumaliza mkataba. Hii ina maana ipi?
Ni siku kumi za kila mwezi au siku kumi kati ya siku 365? Mfano mtu aliye na mshahara wa laki3 kwa...
Habari zenu jf members !
Mimi ni graduate wa B.sc in Irrigation and water Resources Engineering.
Nilikua naomba msaada wa kupata maelezo ya kina kuhusu hii programme ya SEAP iliyo chini ya Engineers registration body (ERB).
Nimekuwa registered as Graduate Engineer by ERB kwa huu mwaka na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.