Msaada PC ya dell Wakuu

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
225
225
Nina pc ya dell inspiron 3521 ambayo ina tatizo moja kwamba, ukiweka waya wa charge, betrii halichaji Bali inakia inatumika kama desktop, lakini nikipeleka betri kwa pc 💻 ya mtu betrii nachaji vizuri tu, bila shida yoyote, hio ilikuwa mwaka jana mwezi wa kwanza, na betri lilikia linasoma ukiliweka kwenye Pc lakini saivi naona nalo halisomi, nahisi labda sijui kwa kua lilikaa Muda mrefu pasina kuchajiwa au vipi.

Nikapewa ushauri nili boost hapo ndo nahitaji msaada betri la laptop wanaboost vipi. Pia nika ambiwa solution ya pc yangu ni kuweka DC power jack mpya, naomba kujua je hii yaweza saidi. Leo nikiwa napita aliexpress nkakutana na hii kitu hivi inaweza saidia kweli, Msaada wenu wanajamvi.

Screenshot_20210528-104159.png

Note: betrii liliacha kusoma kwenye Pc baada ya kukaa Muda mrefu pasina kuchajiwa so
Chief-Mkwawa
ymollel
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,966
2,000

View attachment 1800102
Note: betrii liliacha kusoma kwenye Pc baada ya kukaa Muda mrefu pasina kuchajiwa so
Chief-Mkwawa
ymollel

Vipi umejaribu kuweka battery nyingine na kuona kama itachaji?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom