Mimi ni kijana niliyemaliza form 6 mwaka 2019 nakupata DIV 2 kwa combination ya EGM nilikuw naomba msaada wenu kuhus hii koz inahusian n nin,pia kweny kuajiria unaweza kupiga kampuni kama zipi pia kweny kujiajiri wew kam ww unaweza kupiga issue kam zipi.Nawasilisha hoja kwenu wadau n mm ndio nataka kufanya mchakato wa kuapply .