Naomba ufafanuzi kuhusu hali hii wajuzi

Kwa elimu ndogo niliyonayo ni kwamba, chapati ina kiwango kikubwa cha mafuta na wanga, ambapo vyakula hivyo ni adui mkubwa kwa watu wenye tatizo la shinikizo la juu la damu.

Huenda unanyemelewa na magonjwa ya moyo, nenda kwenye kituo chochote cha afya kilichopo karibu nawe kwa msaada zaidi.
 
Kwa elimu ndogo niliyonayo ni kwamba, chapati ina kiwango kikubwa cha mafuta na wanga, ambapo vyakula hivyo ni adui mkubwa kwa watu wenye tatizo la shinikizo la juu la damu. Huenda unanyemelewa na magonjwa ya moyo, nenda kwenye kituo chochote cha afya kilichopo karibu nawe kwa msaada zaidi.
Asante kwa ushauri
 
Muone Doctor kwa ushauri zaidi unaweza kuwa unatembea na tatizo kubwa pasipo kujijua.
 
Chapati tu hivyo mapenzi je utayaweza kweli..? Especially ukikutana na vidada vile vifupi ukikipenda kuzimia kwako itakuwa ni ratiba ya maisha!
Anyway mkuu wahi hospital.
 
Chapati tu hivyo mapenzi je utayaweza kweli..? Especially ukikutana na vidada vile vifupi ukikipenda kuzimia kwako itakuwa ni ratiba ya maisha!
Anyway mkuu wahi hospital.
😂😂mtie moyo mgonjwa
 
Back
Top Bottom