ANT DRUGS
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 5,565
- 7,032
Habar zenu wakuu.Nina shida ya mafua kwa siku tatu sasa nimejaribu kupiga nyungu ila wapi,Nasikia vitunguu swaumu vinasaidia ila sijui namna ya kuvitumia naomba msaada. Au kama kuna dawa yeyote ya asili naomba nielekezwe altleast njlale na mm leo kama wengne.
Asanten
Asanten