Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

Herry jr

Member
Oct 16, 2020
28
75
Nahitaji ushauri maeneo yapi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha master kwa bei poa ya kizalendo or n maeneo yapi katika mkoa wa Dar ni mazuri kupanga na kuanza maisha
 

Handle

JF-Expert Member
May 12, 2020
227
250
Kupanga sehemu ambayo kufika kwako ni kama unaenda mkoani nako ni kipaji

Yani kuishi porini ni kipaji unackia kilometer 2 na nusu kutoka lami bajaji 500 boda boda buku na Noah 500 ukishuka majaji ni mwendo tu wa dakika Yani umepanda mwendokasi au daladala umeshuka ukapanda bajaji au Boda unashuka na unatembea boda boda haifki nje ya nyumba Yani mateso ya nini hayo
 

Handle

JF-Expert Member
May 12, 2020
227
250
80000-120000

Usiogope vipo vya bei hiyo lakini mitaa sasa usichague ukitaka kuchagua mtaa usichague bei mana zinakua za moto mifano hiyo hapo vya bei hizo
IMG_9604.png

IMG_9614.jpg

IMG_9615.jpg

IMG_9618.jpg

IMG_9643.jpg

IMG_9663.jpg

IMG_9758.jpg

IMG_9759.jpg

IMG_9760.jpg

IMG_9757.jpg

IMG_9763.jpg

IMG_9762.jpg
 

Attachments

  • IMG_9760.png
    File size
    1.5 MB
    Views
    0

Extra miles

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
2,046
2,000
Ok, numekupata vyema kabisa
Unamuuliza nani? Kama ni mm niliepost picha bac cjui nimezichkua instagram hizo picha kwa madalali wapo zaidi ya 20 huko katafute mmoja au usearch uangalie but kwa uzoefu maeneo km hayo sio chini ya 150K Ila masafa ni marefu huko porini utaenda
 

TASK FORCE

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
2,479
2,000
Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
kama vya bei nafuu, Nenda mbagala mkuu,, chumba sebule nasikia efu 40 tu uko.. ...
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,755
2,000
Yani kuishi porini ni kipaji unackia kilometer 2 na nusu kutoka lami bajaji 500 boda boda buku na Noah 500 ukishuka majaji ni mwendo tu wa dakika Yani umepanda mwendokasi au daladala umeshuka ukapanda bajaji au Boda unashuka na unatembea boda boda haifki nje ya nyumba Yani mateso ya nini hayo
Hahaha bora kulipa 200K ukae road
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom